GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu.
Ukituliza...
GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya.
Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.
Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo...
Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi.
Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
Kwa matusi yale yaliyoporomoshwa jana na Wafuasi wa Yanga, ningemshauri Fei ajisajili Simba ili apate nafasi ya kuwashughulikia Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi kati yao.
Fei keshafanya makubwa kwa Yanga na kwa muda mrefu lakini malawama na matusi aliyoyapata jana wakati yeye...
Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili.
Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi...
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.
Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.