Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana.
Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi...
Nimepata hii picha chombo kikielekea kuzinduliwa.
Kwa ufupi ni boat mpya inayokuja kuendelea kutoa huduma kati ya Zanzibar na Dar Es Salaam.
Chombo kinaondoka kwa mara ya kwanza Bandari ya malindi saa 06;30 kuelekea Dar Es Salaam, nauli zitakuwa kama ifuatavyo.
Economy 30,000 👇🏾
VIP 60,000 👇🏾...
Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7.
Tunaokujua ndani nje ( hasa GENTAMYCINE kwakuwa tuko katika Tasnia Moja ) tunatambua kuwa Rafiki yako...
Note 📝 NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu za Ligi Kuu.
Akijitolea mfano baada ya kufanya vizuri msimu uliopita ambapo alikuwa kinara wa mabao 16 na sasa ana 11...
Habari wakuu,
Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi...
Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic.
Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na...
Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open. Kama hazi operate, nimejifunza kitu.
Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
"Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
Habarini wana michezo.
Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora.
Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia.
Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo.
Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na hii ni kutokana na Uhuni ambao TFF wanafanya nao kuwapa kazi ya kurusha matangazo kwa miaka mingi...
Mechi inaanza muda mfupi ujao
Mchezo umeanza
5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani
7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango
25' Mwenda anampiga kazu kipa wa African Sports lakini hakuna wa kuuweka mpira wavuni
35' Goooo
Baleke anaipatia Simba goli la...
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano...
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
WanaJf,
Salaam!
Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS.
Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito?
M. Kabende
China
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.