BREAKING NEWS 🚨
Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.
Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. 👇
Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi..
Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani...
Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin
Karibuni...
Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake,
Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu.
Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
ILE filamu ambayo ilionekana kutoeleweka hatimaye imemalizika kirahisi. Pengine kuliko tulivyofikiria. Ilionekana kama ingekuwa filamu ngumu bila ya kujua nani angekuwa mshindi. Ilimalizika kirahisi Ikulu ya Magogoni kutoka katika kinywa cha miongoni mwa wanawake wenye nguvu Bara la Afrika...
- Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia.
- Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia.
- CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia.
- Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia.
Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC...
Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa...
Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana iyo simba wachague upande kujielekeza kibra ni moto kote kote!
Kazi kwao
Kesho ni fainali ya Azam Sports Federation kati ya Yanga Vs Azam. Tabiri matokeo sahihi ujipatie shilingi elfu 5. Mshindi atakuwa mmoja tu na wa kwanza kutabiri kwa usahihi.
Mwisho wa kuweka utabiri wako ni saa 9:00 (saa tisa kamili) mchana baada ya hapo ubashiri wako hautakuwa halali. Vigezo...
Salaam ndugu zangu,
Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake.
Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa.
Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
azam
hii
kitu
kuelekea
kufuru
kupigwa
kutoka
ligi
maalumu
man
man city
mbalimbali
mpya
msimu
mtambo
mwananchi
nabi
nchini
ngoma
rwanda
simba
simba sc
sports
tetesi
usajili
uzi maalumu
yanga
Huko kunako viwanja vya Azam complex Chamazi, Matajiri wa chamazi wamewakandamiza Polisi Tanzania 8-0, huku Prince Dube akipiga goli 4 peke yake,
Hii ni match yenye magoli mengi zaidi katika msimu huu
Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima.
“Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi...
Kutoka Yanga official page
Amekwenda Azam Sc.
-----
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC.
Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la...
Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass.
Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama...
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano...
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya
MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam.
Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili.
Hatua hiyo imekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.