Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla,
NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF.
Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
Habari ya muda huu ndugu msomaji wa Jamiiforums,
Baada ya kuwafunga Watoto wa tajiri namba moja hapa Tanzania (According to Forbes) kwa mabao 2-1, vijana wa tajiri asiependa kelele hapa mjini SSB Azam Fc walijihakikishia nafasi ya kucheza mchezo wa mwisho (Final) ya michuano inayodhaminiwa na...
Feisal Salum (Fei Toto)
Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili.
Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi.
Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha...
Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa;
"Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
Kwa kasi hii ya Azam wachina wa Startimes wajiandae kufungasha virago?
Naona Azam media wanazidi kuja kwa kasi leo hii wamezindua minara ya bilioni 50 mikoa 21
Baada ya Dish wamekuja na vya Antenna, hawa jamaa wapo vizuri sana naona kwa sasa Wachina wa Startimes wajiandae kisaikolojia tu maana...
Great thinkers,
Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good.
I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana.
Hongereni.
Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu.
Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha...
Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia
Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora...
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote.
Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
SIKU moja baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/22, Yusuf Bakhresa, mmoja wa wakurugenzi wa Azam FC alitangaza vita kwenye mbio za ubingwa katika msimu unaofuata, 2022/23.
Majina ya wachezaji wenye hadhi kubwa pamoja na wataalamu kwenye benchi la ufundi wakashushwa Chamazi kwa mbwembwe kubwa...
Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu.
WASIFU WAKE.
Dabo amezaliwa kwenye mji wa...
Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Mahamud Zuberi ndiye anayeendesha kipindi ambapo ni kipindi mahsusi kwa wachezaji wa zamami kueleza historia yao mpira hadi wakaibuka kuwa maarufu. Hivyo, watazamaji tunakuwa na hamu ya kumsikia mchezaji anachosema.
Hivyo, tungetarajia muda mwingi autumie mchezaji kuongea yeye atumie muda...
Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao.
Hali hiyo imesababisha Kocha wa Al Hilal ya nchini humo kukimbia. Hii inafungua neema kwa klabu ya Azam FC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.