short clear
1. azam awawezi kutengeneza build up. in short ni through ball ndefu then inshallah. foward wapo one on one na 3 defenders every time. ni kama kichekesho. i still believe they got
luck to win that yanga match.
2. wachezaji wa azam awajawa couched. honestly amna mipango ni...
Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao.
Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo...
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza...
Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu tuangalie kitalaamu, unawezaje kuibadilisha timu ndani ya siku moja ukiwa na akina Balua, Chasambi halafu...
Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya
(1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake.
Leo ikiwa ataanzishwa na akawa kwenye ubora wake kuna uhakika wa kuchangia magoli mawili kutoka kwake na kuliteka dimba.
Mechi ya leo...
#nguvumoja#
VIKOSI VINAVYOANZA.
AZAM FC
SIMBA SC.
Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
Updates....
04'
Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi.
20'
Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana.
Azam 0-0...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya 10
0-0
dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside
dakika...
All the Best Mnyama 🦁
Updates za Mchezo wa Leo..
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora
DK 5'
Game on
0-0
DK 10'
Mpira unaendelea
0-0
DK 19'
Goooooooooooal
Sadio Kanoute anatia goli wavuni...
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.
Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na...
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu.
Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
Wakuu
Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa
Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam.
Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu
Kama msimu...
USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Azam imepata ushindi huo kupitia mabao ya Abdul Sopu dakika ya 7 na 42, huku wafungaji wengine wakiwa ni Nathaniel...
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana zinajirudia rudia tu kuanzia visa mpk wahusika.
Hv kuna tofauti gani Kati ya Ertugurul, The Othoman...
Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu!
Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.