Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru.
===
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto.
Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni.
Saa moja mapambano yakaanza na tukamuona Muuza Madafu anaingia kwenye uwanja hivyo nikajua hapa kweli jamaa...
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.
which made Feisal shine.
Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri...
TAARIFA
Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024.
Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.
Tunamtakia...
AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth)
Naomba...
Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii.
Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa.
Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
Azam FC tunayo furaha kuutangazia umma kuwa tumeingia makubaliano ya mwaka mmoja ya ushirikiano na klabu ya soka la wanawake ya Fountain Gate Princess.
Makubaliano hayo ni katika kukidhi kanuni ya CAF, iliyoanza kutumika msimu uliopita inayozitaka klabu zinazoshiriki michuano ya Afrika, kuwa na...
Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi.
Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine)
Mawasiliano
0749247929
Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika Tanzania Bara pamoja Zanzibar.
Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV,Meneja Habari na Mawasiliano...
Wadau naomba msaada wa transponder mpya za Azam TV kwa mwenye king'amuzi chake kilichopokea maboresho.
Sipati channel za nyumani kwenye list ya channel zangu.
Mimi ni mteja wa king'amuzi chenu kabla ya kukinunua niliona kina USB port na kufuatilia nikakuta unaweza weka flash uka play movie au audio.
Kwa Mimi mwenye tv ya kizamani isiyoweza play flash HD nikaona king'amuzi chenu kitanifaa kumbe flash unafanya kazi ukilipia kifurushi kikiisha flash...
Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi.
Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu.
#Nisameheniibureeepls
Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT.
Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi?
Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote walihudhuria mechi ya Yanga na Azam pale Aman Complex, na waliona kila kitu, Sasa kiherehere cha...
Habari za wakati huu.
Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025.
Young Africans aliibuka mshindi dhidi ya Azam Fc wa kombe la CRDB Bank Federation Cup 2023/2024 kwa mikwaju ya penalty.
Sasa turudi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.