azam

  1. L

    Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
  2. King Jody

    Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

    Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni, Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati, Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
  3. R

    Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  4. D

    popat c.e.o wa azam fc ni swala la muda kupewa majukumu mengine

    A lot of high-ranked members in Azam FC are calling him off the Azam FC project. He has proven to be a failure each and every season, despite creating a lot of talented youth teams. Possibly, he will be given the Azam FC youth team to run. As of today, Azam FC will be hunting for a new CEO to...
  5. D

    Azam FC na Dabo habari imeisha. He will be fired upon arriving in Tanzania

    I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager. Azam FC and Dabo's business is over.
  6. comrade_kipepe

    Familia ya Bakhresa azam ina mamluki sana mtapigwa sana hata mumsajili nani

    Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu USHAURI WANGU: Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao...
  7. mdukuzi

    Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  8. hp4510

    Kuna mtu yoyote mwenye hisense TV ambae anaweza kuangalia Azam app?

    Wakuu habari Nina TV ya hisense ambayo ni smart TV Sasa kila nikitaka kuangalia Azam max siwez kulogin Nimeweka na video hapo chini Msaada please
  9. Julius Husseni

    No signal error 1 dish la azam

    Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu shida hii afu Leo kuna mechi kali tafadhali jinsi ya utatuzi
  10. Fredrick Nwaka

    Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

    Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1 Aridhio 3. TBC 1 Aridhio 4. KAIFA ya TBC Taifa 5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa 6. Dira ya mchana...
  11. kavulata

    Goli la Mama lingeazia hatua ya makundi mashindano ya CAF

    Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league walijua mapema kwamba watakwenda kushiriki mashindano ya CAF 2024/25. Namchukia kupita kiasi...
  12. Ubungo Mataa

    King'amuzi cha Azam Antena

    Wakuu heshimu kwenu. Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya
  13. ngara23

    Azam anapita njia ngumu CAFCL, atatoka hatua ya awali

    Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa. Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni...
  14. Dalton elijah

    Azam Media yatakiwa kulipa Million 100 Kwa Chief Fred Uisso

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya kampuni hiyo kumtangaza mpishi huyo...
  15. kiwatengu

    Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

    Match Day Vital'O FC vs Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. #Daimambelenyumamwiko# Updates... Mpira umeanza Timu bado zinasomana. Dk 05 Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza hapa . Goal la kwanza kwa Yanga. 0-1 Dk 08' Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...
  16. Pdidy

    Miaka 4 azam bila kombe..yanga mechi 5 makombe mawili medali 2...dubee wee

    Shikamooo engn hersi poppte uliipoo
  17. Pdidy

    Hivi kipa aliedakia Azam ni yule aliecheza Zanzibar ama mdogo wake??

    Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake.
  18. kiwatengu

    Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  19. BUMIJA

    Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

    Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli. Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
  20. D

    Timu yangu bora ya msimu wa 2024/25 ni Azam FC nikiwa kama shabiki mpya

    After several reviews of the last 2 matches, I came to the conclusion that Azam FC has the best squad in the Tanzania NBC Premier League.( team bora sana) I know people will say Yanga FC has the best team, but if you remove the first 11 of both teams, Azam FC has more squad depth in terms of...
Back
Top Bottom