Wakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi.
Kuna viashiria vya upangaji matokeo
Najaribu kuiweka clip inagoma...
Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.
Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea
Hata yule bosi wa zamani wa mawingu marehemu kwa sasa ambaye alikuwa anasifiwa sana ana akili ukweli ni kwamba alikua wakawaida sababu...
Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake
Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza
Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara
Niko Dar es salaam
Mtu yoyote ambae anauza then nipm
Ukiwa na risit ya manunuzi itakuwa Bora zaidi
Au uwe na udhibitisho wa kuonesha hivyo vifaa ni vyako
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam.
Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee
N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji
Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake...
Kwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo.
Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho.
Nasema no no no and never .
Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake.
Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
Habari za Majukumu na uzima Wakuu......
Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........?
Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya AZAM TVsioni kabisa channel ya ETV
Mwenye majibu tafadhali ...
Natanguliza shukrani .
Azam tv kwema,
Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi.
Azam fc wamekata tamaa
Wanacheza kama wachovu Kweli kweli.
Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya JKT TANZANIA
Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target...
Habar zenu wanajamvi.
Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu.
Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za...
Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL.
Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita.
Beki wa kushoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.