azam

  1. mdukuzi

    Azam Complex watoa clip ya aliyeziba camera ,mwamba huyu hapa.

    Mwamba huyu hapa
  2. mdukuzi

    Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

    Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
  3. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  4. chiembe

    Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

    Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga kwa big boss mzee wa aiskrim. Kwa sasa Vita imehamia kwa Hashim, maana kwa Ally, Dua zake zake za...
  5. M

    Mashabiki ya Yanga sc hawautaki tena uwanja wa Azam complex- Chamazi! Wataka mechi zao zikachezwe KMC complex stadium

    Lilikuwa suala la muda tu baada ya Bundi mzee kuwika katika uwanja wa Chamazi, klabu namba moja kwa masuala ya ushirikina Tanzania. Daima mbele nyuma mwiko kuanza harakati za kuukimbia uwanja wao wa nyumbani ,Chamazi na kutaka kuja kuutumia uwanja wa KMC unaotumiwa na mahasimu wao wanaoongoza...
  6. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  7. Komeo Lachuma

    Hii ndo match yetu ya Mwisho kucheza Uwanja wa Azam. Hawa washenzi tutawakomoa

    Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa. Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa. Hawataki tuuandae uwanja...
  8. Eli Cohen

    Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
  9. GENTAMYCINE

    Sasa hivi ukikutana nao tu halafu ukajifanya unaulizia Juice ya Azam au Ice Cream ya Azam tegemea kupata Kipondo kutoka Kwao kwani inawauma sana

    Kinachonishangaza ni kwamba Wengine tumeshazoa Kutaniwa, ila Wao sasa ukiwatania tu wanataka hata Kukupiga.
  10. kavulata

    Yanga kufungwa na Azam kumeiongezea umakini na makali

    Yanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi. Bila ya hivyo kiburi na kujiamini kulikopitiliza kungetamalaki kikosini. Hata wasanii wa hovyo walitunga nyimbo za kuwaaminisha...
  11. L

    Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

    Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
  12. GENTAMYCINE

    Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  13. M

    Tunakushukuru sana kijana wetu IBRA BAKA

    Hakika umekuwa mzalendo halisi wa Znz
  14. M

    Sisi kama Azam tunakushukuru kijana wetu IBRA BAKA

    Hakika umekuwa mzalendo halisi wa Znz
  15. L

    Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  16. M

    AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  17. GENTAMYCINE

    Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  18. DR Mambo Jambo

    Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  19. M

    Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  20. GENTAMYCINE

    Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Back
Top Bottom