Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations.
Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje?
Ukichukulia gharama...
Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam.
Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
Azam FC wameachia picha za muonekano mpya wa mabenchi ya wachezaji wa akiba, baada ya kufanyiwa maboresho.
Azam FC wameachia picha hizo saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Uwanjani hapo.
Mara ya mwisho Azam FC ilipocheza Azam Complex dhidi ya Fountain Gate...
Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa.
Itapendeza kama mtaweza kuwa na watia sauti tofauti wengi kuliko Kila kazi ya sanaa kutumia sauti zile zile za watia...
Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi.
Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu uliopita tangu atimkie kwa matajiri hao wa Chamazi hajawa na rekodi nzuri kulinganisha na timu aliyotokea...
Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi.
Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba?
Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3,
Azam 1 Kagera Sugar 0
Azam 2 Singida Big Star 1
Yanga 0 Azam 1.
Mechi za Simba
Pamba 0 Simba 1
Simba 4 KMC 0
Mashujaa 0 Simba 1
Azam mechi 3...
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?
Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar
Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote
Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance
Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao
Mpaka baadae...
Najua wengi Huwa tupo busy na simba na yanga
Yanga wapo ovyo saivi ata kesho akipoteza na namungo sio surprise
Simba hawaeleweki wanacheza Nini infact wachezaji wenye uhakika wa number ni CAMARA na CHASAMBI 😎
Ila Azam ukiwaangalia wanakimbiza mwizi kimya kimya tu
Hapo bin Zayed hajacheza...
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
Wana JF
Jana nilitoka Dar to Znz na leo natoka Znz kuja Dar nikitumia boat za Azam
Boat ziko excellent, lakini departure lounge haziko sawa. both Dar na Zanzibar hakuna utaratibu mzuri
Kwa mfano kwa upande wa Dar yule dada anaefanya announcement anasistiza abiria wakae kwenye siti wasubiri...
Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe.
Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake kuona matukio ya kiibada vzrii. Siku hiyo kulikuwa na ubatizo wa watoto kanisani.
Padri akaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.