azam

  1. U

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

    Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa! Ajabu toka juzi naandikiwa "No or...
  2. D

    TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
  3. Fei toto katoa Assists 2, Azam ikiua 3-0 kigoma

    Match ipo dakika ya 80 Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr Silla Allasane diao Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.
  4. Hali si Shwari Ndani ya Azam FC, Wachezaji Hawamtaki Kocha Dabo

    WACHEZAJI WA AZAM FC HAWAMTAKI KOCHA DABO Hatimaye Jinamizi la Kumkataa la Makocha kukataliwa na wachezaji wa Azam limeibuka tena na sasa ni kwa kocha Dabo. Habari za Uhakika ni kwamba safari hii ni zamu ya Yousouph Dabo, Taarifa zinasema kuwa Mkasa wa Dabo ulianza siku ya mazoezi kwanza baada...
  5. Kipindi Cha Mshike Mshike cha Azam ni cha ovyo Sana

    Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha ovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
  6. M

    BAKHRESA badili malengo ya Azam sports club

    Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri. Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji. Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
  7. Wachezaji Azam walishwe ugali na sukari

    Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa...
  8. Azam inasubiri nini kutimua kocha wake?

    Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu? Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union (wanadai kabadilishiwa majukumu), sasa hawa Azam shida yao iko wapi?
  9. FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

    Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu 1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara) 2. Namungo...
  10. FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Match Day. Young African Sports Club Vs Azam Football Club. Muda 12:30 Jioni. Benjamin Mkapa Stadium. Ni game kali, yenye kutaka ushindi. Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga? Tukutane kwa Mkapa. Daima Mbele, Nyuma Mwiko. All the Best Yanga. Mchezo umeanza Yanga...
  11. Azam Tv kupita channel ya sinema zetu, wawaombe msahama walimu kwa kuwadhalilisha

    Nipo zangu home nimetulia naperuzi kutafuta channel nzuri ya kuangalia nikatua channel ya sinema zetu Azam Tv namba 103 wanaonyesha movie inaitwa simuulizi, Introduction kabla movie yenyewe kuanza. Picha inaanza mabinti wako kisimani wanateka maji, wakaanza kubishana kuhusu Mwalimu mkorofi...
  12. Azam mmejitahidi sana kwenye Mechi ya Ufunguzi AFL

    Kuna siku nilikuwa nabishana tu na mfanyakazi wa Azam, nilimwambia kwamba kamera za HD wanazotumia Multi Choice ni tofauti na wanazotumia Azam, na wanazotumia Multi Choice ni tofauti na zile wanazotumia Sky Sport. Tulibishana kidogo na alisema kamera za HD zote ni sawa. Nilichouliza kwa nini...
  13. Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa...
  14. FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  15. Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

    Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV. Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki. Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao...
  16. Azam tv wako sawa kweli?

    Wameamua kabisa kutonesha kidonda cha kile kichapo cha 4-1 kati ya mnyama simba na wazee wa kukalia mwiko Mechi inarudiwa muda huu azam sports 3 hd
  17. U

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe! Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe...
  18. Kama CEO Popat na Msemaji Ibwe watakuwepo Azam FC hadi tarehe 25 Oktoba, 2023 wakicheza na Yanga SC basi Watafungwa

    Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka. Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
  19. Coastal Union 0 - 1 Azam SC| NBC Premier League | Mkwakwani Stadium | 06.10.2023

    Haya!! Baada ya mjadala mzito wa Makundi, Turudi kwenye ligi yetu pendwa, inayojizolea mashabiki wengi kila kukicha. Game Day. 06.10.2023 FT: Tabora FC 2 - 1 Dodoma Jiji. Next Match, ni mechi ya kisasi. Coastal Union Vs Azam Muda ni saa Moja jioni. Tukutane Saa 1:00 Azam.
  20. Azam marine ovyo kabisa

    Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa. SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…