Kuna ujinga unaendelea hii nchi tushafanywa kama wapuuzi, Azam vifurushi tushalipia Cha ajabu Kila siku za mechi mnatuletea ujumbe kana kwamba hatujalipa, ukipiga simu customer care wanakuambia upige *150*50*5# kuweza kupata huduma kama ushalipia, upuuzi ni kwamba Huduma Hio wanakata muda wa...
Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.
Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.
Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.
Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Ikumbukwe...
Si mpenzi wa mpira wala vipindi vinavyofanania mpira, n.k., labda wajukuu wake, lakini siweki kwa ajili yao ila bibi yao.
Mlengwa anapendelea vipindi vya kwaya na mahubiri ya Kiswahili na "movies" zenye maudhui ya Kiafrika, hasa ya Kitanzania, lakini zinazozingatia maadili .
Nilishajaribu...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena.
Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
...........(salamu)
Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,
Anyway may be ni...
Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---
Kikosi cha Simba kinachoanza...
Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha hewani maudhui yao kwenye kipindi kinyume na makubaliano.
Katika kesi hiyo ya...
Aliyekua beki wa klabu ya Yanga raia wa kimataifa wa Congo Djuma Shabani ametimkia klabu ya Azam ya jijini Dar-Es-Salaam kwa mujibu wa taarifa mbalimbali.
Beki Djuma Shabani ameonekana kwenye viunga vya Azam akiwa anafanya mazoezi na klabu hiyo, huku vyanzo mbalimbali vikithibitisha beki huyo...
Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe!
Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo ..
Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.
Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.
Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
Despite problems such as;
1. inconsistency
2. winning useless matches
3. poor leadership structure
4. talent wasteful club
5. no yearly plans
6. lack of football board members
7. ceo shule hana, mikakati wala pressure
8. ni kikundi cha wahuni 😂
Game hio inachezwa leo pale Chamazi, mashabiki wa Azam karibuni kwa updates
Kikosi cha team bora Azam FC.
0' match imeanza hapa chamazi
11' Dubeeeeeeee,
Azam wanapata uongozi mapema hapa
35' Azam wanautawala mchezo leo, ila matokeo bado ni 1-0,
47'Goooooool
Nado anatupa bao la pili
Azam...
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya.
Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku...
Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi.
Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.