Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.
Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo...