baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Amani Dimile

    Baba ni nguzo imara zaidi ya mnara wa Babeli

    Mkizisikia tena nyimbo za nani kama mama msizime runinga abadani wala kupunguza sauti ya redio, bali ngojeni hadi ubeti wa mwisho tusikie angalau huenda baba nae atatajwa. Na hata asipotajwa basi msimdhihaki mtunzi huenda kwake alilisifu tunda zuri na tamu, lakini hakuona juhudi za mti...
  2. sky soldier

    Kwa Fungu la Bilioni 1.3 kwajili ya kuwaendeleza ndugu kijijini ni bora kuwapeleka shule au kuwawezesha kibiashara?

    Mhusika kajisevu sevu ana fungu la Bilioni 1.3 kalitenga kuendeleza huko kwao Options ni mbili A. Kuwachukua wanaofaulu vizuri form 4 Kuwasomesha chuoni mpaka wanapomaliza degree. sharti ni kusomea kozi za sheria, Engineering, udaktari, ufamasia na uhasibu. 2. Kuwapa mikopo isio na riba...
  3. comte

    TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

    Na Ezekiel Kamwaga KUELEKEA kipindi cha Kwaresma na Sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2018, Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa waraka ambao kimsingi ulikosoa vitendo vya uminyaji wa demokrasia na uhuru wa watu kujieleza uliokuwepo wakati wa utawala wa hayati Rais John Magufuli...
  4. Mganguzi

    Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

    Laana inaweza kuonekana dhahiri au ikaonekana kwa kuyatafsiri maisha halisi ya mtu ! Kila nilipokuwa narejea nyumbani nilimpa kipaumbele mama kuliko baba! ,Na mama aliutumia udhaifu wangu kunisimulia Kila jambo baya la baba ili niendelee kumchukia baba! Mama alikuwa ana wezq kunisimulia matusi...
  5. R-K-O

    Mwanaume alieanza kujitafutia sio sawa kumtumia pesa mama badala ya baba, Sio sawa hata kidogo kusema nani kama mama

    Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo. Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
  6. benzemah

    Baba kizimbani kwa mashtaka ya kumnajisi mwanawe wa kumzaa mwenye miaka 14

    MKAZI wa Mtaa wa Nyabubele Kata ya Kasamwa Kukailwa (40), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa mashtaka ya kunajisi mwanawe - msichana mwenye miaka 14. Alipandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Johari Ki uwile na aliposomewa mashtaka, alikana kuhusika...
  7. Notorious thug

    Mwijaku na Baba Levo wakatazwe kuongelea habari za DP World na Bandari

    Napata hasira kali sana kuona hawa Makanjanja wakiongelea mambo nyeti ya nchi kwa ushabiki na mzaha. Hawa watu wamejaa ujinga na masihara inatia aibu kuona wanavyoongea na kujaribu kuelezea vipengele vya kisheria kuhusu mkataba huu ila hamna wanachojua aibuu tupu.
  8. Unasemeje

    Top Manyota Top Manyota, Chesko mzee wa Matunda, Manka Mushi, Baba Askofu

    Wakali wa salamu, walikuwa ni hatari sana kupiga simu namba 2700588 ya radio one na kusambaza upendo.
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Swali kwa Great Thinkers tu. Kama shetani ni baba wa uongo, kwanini kashindwa ku fake miujiza hii?

    Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga. 1. Bikira kupata mimba bila mwanaume 2...
  10. JanguKamaJangu

    Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

    Katika hali ambayo inaweza kuacha maswali mengi na mtazamo tofauti, mtoto Yusuph Issa Juma mwenye umri wa miaka 8, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Istiqaama iliyopo Ilemela Jijini Mwanza amesafirishwa kwenda Nchini Canada bila ridhaa ya mama yake. Mtoto huyo ameondoka katika...
  11. R

    Mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda kwa jirani fulani lakini ghafla habanduki huko, shtuka!

    Wakuu, Una jirani, rafiki yako au hata ndugu mnaoishi karibu na mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda huko lakini ghafla amekuwa habanduki kwa jirani huyo mzazi shtuka. Na kinyume chake vile vile, mtoto wako alikuwa anapenda kwenda sehemu fulani kucheza lakini ghafla haendi huko na unajua...
  12. R-K-O

    Malezi haya wanayopewa watoto wa kiume na mama zao hasa kwenye nyumba isio na baba, yapo sawa?

    Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa? Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ? nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa...
  13. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  14. M

    Naombeni ushauri: Mama wa kambo anauza mali za baba

    Iko hivi mimi ni mtoto wa katikati katika familia yetu, baba alirithi mali kutoka kwa mababu zetu, ingawa baadhi ya mababu zetu wengine walivuja sana mali za marehemu babu, ingawa wengine walishakufa na wawili wangali hai. Baba yangu mzazi na mimi yeye alikuwa na uchungu sana na mali za baba...
  15. ndiuka

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  16. Chachu Ombara

    Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii. Je, uchawa umewalipa...
  17. Roving Journalist

    Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea: Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba, Mtaa wa Kiburuni, Dar es Salaam na kuanza kuvunja sehemu ya nyumba, ikiwemo madirisha na milango...
  18. R-K-O

    Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
  19. B

    UVCCM wameukimbia Mtiti wa DP World, Baba Levo na Steve ndio Backup iliyobaki

    Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini. Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa Dr Samia Suluhu kuliko Wasomi wengi wa uvccm na Makada nguli. Baba levo nilimsikia juzi akiwa...
  20. Urban Edmund

    Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
Back
Top Bottom