baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  2. TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
  3. R

    Baba, mtoto wako yuko huru kukueleza jambo lolote?

    Wakuu, Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza? Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
  4. Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  5. R

    Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  6. M

    Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

    Kwenu baba zetu maaskofu. Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo. Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia...
  7. F

    SoC03 Wosia wa Baba

    Wanangu nawasalimu, Salamu ziwafikie, Niko hoi baba yenu, Naomba mlitambue, Ninalo jambo muhimu, Natamani mlijue, Nitaposhusha kalamu, ujumbe muusikie, Amani kitu muhimu,wanangu mnielewe, Aliyasema Mwalimu, Amani iendelee, Tusilete udhalimu, Amani ipotelee, Bora tutoe elimu, Amani isipotee...
  8. Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  9. Sweta la baba yangu lenye historia ya maisha yangu

    Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati. Twende pamoja. Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997. Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa. Siku...
  10. Kipindi nina miaka chini ya 7 ningesikia baba yangu kafariki ningefurahi sana!

    Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka. Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo. Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara...
  11. Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

    Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua. Uzuri wife akawa amefaulu...
  12. M

    Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  13. SoC03 Afya ya mtanzania mikononi mwa baba na mama ntilie

    Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
  14. Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

    BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji? 3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
  15. Je, ni aibu, kwa familia ambayo wazazi walikuwa watumishi wa serikali lakini hakuna mtoto aliye serikalini?

    Nauliza hili swali niweze kupata viewpoint yenu maana kuna baadhi ya watu nawashangaa wanasema watoto wameaibisha wazazi wao ila mimi naona hawapo sawa kwasababu kazi hazirithishwi, Nyie mnaona vp? baba alikuwa ni engineer shirika kubwa tu, Mama alikuwa ni Muhasibu taasisi flani ya mambo ya...
  16. Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
  17. T

    Ninaamini, leo angelikuwepo Mwl. Nyerere, angekuwa wa kwanza kusema yalikuwa makosa kuwapa Wazanzibari Ardhi ya RAZABA huko Bagamoyo

    Hadi hivi sasa huko Razaba, kuna watu wanaendesha shughuri zao za kila siku, na hii ni kwa sababu, hapakuwa na kufahamu iwapo eneo hilo linamilikiwa na Wazanzibari Unajiuliza, watu hao sasa wahamie wapi Kwamba nchi iliyo na watu milioni 59+ igawe aridhi yake kwa nchi yenye watu milioni 1+...
  18. Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  19. Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  20. Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

    Kama YUSUFU alimlea YESU, Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA. Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu. Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani. Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu. NIKO PALE NIMEKAA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…