bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  2. JF bado ina watu wema. Ndugu Kalaga Baho ni miongoni mwao.

    Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka...
  3. Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
  4. Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

    Habari wakuu, Hivi hapa kutakua na shida gani. Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi. Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
  5. Kama bado Upo kwa Wazazi,Usitoke!

  6. T

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
  7. Hezbollah bado wapo kwenye mshtuko wa moyo hawaamini mashambulio yao yamefelije! Waliwahiwa mapema kiufundi na IAF

    Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini...
  8. Bado tuna kazi ya kufanya tupo nyuma sana

    Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo China NBS data Annual GDP China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8] (current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9] year GDP GDP per capita based on mid-yr pop.[10] Reference index...
  9. Yaliyompata Pinokyo: Inasikitisha kuwa kuna watu wazima bado wanatapeliwa namna hii.

    Nchi ingekuwa na utaratibu wa kusoma soma toka watu wakiwa wadogo, watu wengi sana wangeepuka kuishi Mji wa Mtego wa Wajinga. MBWEHA: Na fedha zako je? PINOKYO : Ninazo. Niliziweka mfukoni. Inakosekana pauni moja tu, niliyotumia kumlipa Bwana-hoteli. MBWEHA: Lakini niambie: umekwisha fahamu...
  10. Ukiona hujakipata ukitakacho elewa bado hujakitaka haswa. Ulimwengu unatoa chochote atakacho mtu.

    Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo. Ulimwengu una kila tunachotaka na unaweza kutupa ila ni mpaka tutake haswaa. Hakuna mtu aliyetaka kitu kwa...
  11. Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
  12. J

    Manchester United ni ile ile, bado kuna kazi ya kufanya

    Ikiwa ni mchezo wa pili toka ligi ya England ianze Manchester United imepoteza mchezo wake baada ya kukubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Brighton & Holves Albion huku mabao ya Brighton yakifungwa na Danny Welbeck na Joao Pedro huku Unitedwakifunga bao la kufutia machozi kupitia kwa Amad...
  13. Tumeshamjua SIMBA bado mbwa anaebweka ni nani?

    tunataka ufafanuzi wa Rais ni nani huyo mwenye hadhi ya mbwa?
  14. Pre GE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  15. Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

    Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia. Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
  16. Leo kuna Bomu linaenda kupigwa Mochwari, halafu bado kuna Watu watafurahia na kujisifu hata kwa Kuandamana

    Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na...
  17. Yanga imeacha kuwa feeder club kwa timu za Africa, Mzize bado yupo.

    Kama wachezaji wakubwa Africa kama Aziz Ki, pacome, Aucho, Yao, Diara , nzengeli, che Malone, Dube wamekuja kucheza Tanzania unataka mchezaji mdogo kama Mzize aende nchi gani Africa? Ni timu ngapi Afrika hazitaki kuwa na kocha kama Gamondi, Nabi kwenye timu zao? Mzize awaze kwenda ulaya sio...
  18. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tanzania bado tuna fursa nyingi za Utalii

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti 21, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wadau na washiriki waliohudhuria tukio la USIKU WA UTALII...
  19. Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…