bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. realMamy

    Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake. Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao. Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
  2. Roving Journalist

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro: Shughuli za utalii bado zinaendelea licha ya taarifa za Maandamano

    MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024. NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
  3. Kaka yake shetani

    Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  4. Nehemia Kilave

    Mambo machache Sukuma Gang bado wanayahitaji yafanyiwe kazi

    Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama . 1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi 2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
  5. GENTAMYCINE

    Haya 'Kuku Brain Bado Tunatengeneza Kikosi Sports Club' vipi tumeshauzindika tayari Uwanja wetu tutakaoutumia uliopo Jirani kabisa na Kawe na Lugalo?

    Kwani za chini chini ninasikia Jamaa ambao wameshatuweza ndani na nje jana wamemalizana nao ili uwe Nuksi nasi.
  6. KIXI

    Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    "Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao. Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
  7. Mparee2

    Hivi wale wakaguzi wa shule bado wapo?

    Zamani enzi zetu, kila mwaka tulikuwa tunaona gari la waguzi wanakuja na kukaa shuleni walau siku tatu hadi wiki wakifuatilia maendeleo mbalimbali (sifa za waalimu, vifaa, majengo nk nk) Nimejiuliza kwa sababu, kwa miaka hii unaweza kusikia Muandishi wa habari anaripoti madarasa yanataka...
  8. GENTAMYCINE

    Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?

    Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo itatolewa katika Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam. Mwanamichezo wetu...
  9. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  10. Webabu

    Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  11. GENTAMYCINE

    Kuna Timu itafanya Tamasha lake huku Branding nzima ya Uwanja bado ikiwa ni ya Timu iliyotangulia kufanya Tamasha

    Siku zingine tumieni Akili haiwezekani Mwenzako anafanya Tamasha lake leo na unajua kabisa kuwa Uwanja utakuwa Busy, Matukio ni mengi na Branding nazo zikiwa za kila aina ambazo hata Kuziondoa nazo huchukua muda halafu na Wewe unataka ufanye Tamasha lako Kesho yake. Kuna aina fulani ya Usumbufu...
  12. Mpigania uhuru wa pili

    Sold out ila bado tiketi zanauzwa kwa lampard electronics kariakoo

    Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketi
  13. BOB LUSE

    KERO Us dollar bado inatufinya wapangaji wa maeneo prime area Dar

    Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani. Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na...
  14. GENTAMYCINE

    Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

    Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
  15. matunduizi

    Bado sijaona kosa alilofanya Kiboko wa Wachawi am ambao wapinzani wake wa kilokole hawafanyi

    Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya. Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika. Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge...
  16. GENTAMYCINE

    Wazazi wa Tanzania nilidhani hii Tabia za Kishamba na ya Kijinga pia mmeiacha kumbe hadi Leo bado mnayo tu?

    Acheni kuwachagulia Watoto wenu Fani ambazo nyie mmezifanya huku hadi kuwatishia kuwa wasipofuata basi mtawavulia Nguo zenu kwa Kuwalaani. Hivi inaingia Akilini kabisa Wewe Mzazi ni Injinia na kila Siku unaona Mwanao katika Masomo ya Sayansi anatepeta / hayawezi ila kule katika mengineyo ya...
  17. Supu ya kokoto

    Kwenye hii picha bado sana

    Atcl Zetu zimeshapaki. Zimechoka. Hazipendi kuzurura usiku.
  18. S

    Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

    Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado...
  19. GoldDhahabu

    CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  20. haszu

    Watu wema wenye kujali utu na sio pesa bado wapo

    Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri. Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy...
Back
Top Bottom