Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani kwa jina la yesu nk.
Wengine tukawa tunawasikia wanalia tu kwa sauti kubwa hadi tunashangaa.
Huko kwa walokole hakuna tofauti na mganga wa kienyeji.
Ndio maana Kuna maji,vitambaa,mishumaa,na mchanga wa upako.
Huo ni utapeli na sote tunajua wenye akili timamu kuwa ni upigaji tu.
Mke wako akianza kusali makanisa ya kilokole % kubwa atamskiliza na kumtii mchungaji,Mtume au nabii wake.
Walokole mtuambie tangu muanze kumkanyaga shetani mmefikia wapi?
Pichani ni mchungaji wa kilokole akiwa madhabahuni.Mambo haya huwezi kuyaona kwenye makanisa mengine ya kikristu kama romani,wasabato na kkt