secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Usipotuthibitishia uwepo wa mungu unapigwa kabisa marufuku ku-log in JF. Ngoja niongee na mods 😂.Sijajua ila achana nae mkuu haina madhara 😅 muhimu nalog in na ku out jf
Usipotuthibitishia uwepo wa mungu unapigwa kabisa marufuku ku-log in JF. Ngoja niongee na mods 😂.Sijajua ila achana nae mkuu haina madhara 😅 muhimu nalog in na ku out jf
Ngoja nami nianzishe church uwe unakuja ku-enjoy.Rafiki zetu walokole Wana mambo mengi ya kufurahisha hata unashindwa uandike lipi uache lipi!
Natumai siku ukikewa mbege utafanya hivyo mkuu 😀.
Juzi nilijaziwa sana ila nitarud nawamudu wote 😅😅😅😂Natumai siku ukikewa mbege utafanya hivyo mkuu 😀.
Cheo cha uhasibu changu,nimekiwahi!Ngoja nami nianzishe church uwe unakuja ku-enjoy.
Ila juzi harufuya mbege ilikuwa Kali sana hadi walokole wakaogopa kuja.Juzi nilijaziwa sana ila nitarud nawamudu wote 😅😅😅😂
Pia jifunze pia kunena kwa lugha na kuimba pambio.Cheo cha uhasibu changu,nimekiwahi!
Ule Uzi ulikuwa wa moto watu walibaki kuwa wasomaji tu 😅😅😅Ila juzi harufuya mbege ilikuwa Kali sana hadi walokole wakaogopa kuja.
Walokole na madhehebu ni wapumbavu mtupu.Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani kwa jina la yesu nk.
Wengine tukawa tunawasikia wanalia tu kwa sauti kubwa hadi tunashangaa.
Huko kwa walokole hakuna tofauti na mganga wa kienyeji.
Ndio maana Kuna maji,vitambaa,mishumaa,na mchanga wa upako.
Huo ni utapeli na sote tunajua wenye akili timamu kuwa ni upigaji tu.
Mke wako akianza kusali makanisa ya kilokole % kubwa atamskiliza na kumtii mchungaji,Mtume au nabii wake.
Walokole mtuambie tangu muanze kumkanyaga shetani mmefikia wapi?
Pichani ni mchungaji wa kilokole akiwa madhabahuni.Mambo haya huwezi kuyaona kwenye makanisa mengine ya kikristu kama romani,wasabato na kktView attachment 3542936
Imeisha hiyo katibu ndege,vyote hivyo mi napiga fresh Tu hata kuhubiri siku moja moja Ambazo mchungaji hautakuwepo mi napiga neno hakiharibiki kitu mchawi maokoto🤗🤗🤗🤗Pia jifunze pia kunena kwa lugha na kuimba pambio.
Njoo hapa Sinde tupige mbege japo baridi ni Kali sana.Ule Uzi ulikuwa wa moto watu walibaki kuwa wasomaji tu 😅😅😅
💪Let's go!Imeisha hiyo katibu ndege,vyote hivyo mi napiga fresh Tu hata kuhubiri siku moja moja Ambazo mchungaji hautakuwepo mi napiga neno hakiharibiki kitu mchawi maokoto🤗🤗🤗🤗
Ulokole ni tatizo la afya ya akiliUlokole ni uendawazimu
Kwahiyo unaweka mizani sawa 🤣Niulizie pia wale wanaompigaga mawe wakiendaga hija, kwamba hajafa tu maana mawe yanaua.
point mkuu,ngoja waje kobaziNiulizie pia wale wanaompigaga mawe wakiendaga hija, kwamba hajafa tu maana mawe yanaua.
Walokole ni wagonjwa wa akili , wanao zurura hovyo badala ya kuwa sehemu kama mirembeWANASEMA KICHWA CHA SHETANI SASA KIMEKUWA KAMA CHAPATI KWA SABABU KIMEKANYAGWA SANA.
MENEMENE TEKERI NA PERESI nasikia Harmful kaanguka katikati ya mahubiri, hebu nipe testimoni huko kanisani kwenu.
min -me.
Watupe mrejeshoAwali ya yote Lissu sio Muhaini.