ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo
Ila Nina maswali najiuliza
1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata hawakutafiti kutaka kujua idadi?
2. Je, tume hiyo itamshauri Samia bila kumwogopa kuwa yeye ndo chanzo cha fujo zile na mauaji?
3 Je tume itamshauri Samia kurudiwa Kwa uchaguzi mkuu, kuwa uchaguzi wa ulaghai wa October 29 ulikuwa utapeli
4. Je tume itamshauri Samia aache kutumia madaraka kukandamiza wapinzani hasa Lissu?
5. Au tume itaamua kuwaangushia chadema jumba bovu?
6. Tume itakuja na majibu yalipo makaburi ya halaiki?
7. Miili ya Watanganyika waliouliwa Iko wapi?
Tume itajibu hili swali?
8. Tume itapendekeza Nini juu ya kuwajibishwa Kwa walioua Watanganyika ambao serikali inawakingia kifua
Je Samia atawajibika yeye binafsi Kwa kujiuzulu?
Najua hapa tume itapendekeza IGP wambura ajiuzulu
9. Tume itapendekeza Nini Kwa fidia Kwa ndugu wa Watanganyika waliouliwa?
10. Tume itashauri tuliendee vipi suala la maridhiano
Au ripoti yenyewe haitatoka hadharani
TUENDELEE KUSUBIRI REPORT YA TUME KANJANJA