Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo?
Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya kufundishwa kuhusu mungu kuanzia utotoni jinsi imani ya kidini inawakamata binadamu mithili ya uhai wao!
Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya kufundishwa kuhusu mungu kuanzia utotoni jinsi imani ya kidini inawakamata binadamu mithili ya uhai wao!