Majina ya mmoja wao atakaye teuliwa kuwa katibu mwenezi yametangazwa lakini laa! Orodha iliyotolewa inasikitisha sana kwani haifsnani na CCM tuijuayo, hii imepwaya haina wanasiasa.
Bila kuwa mwanasiasa hakuna atakachokieleza kwenye uenezi wake, ukweli lazima usemwe kati yao hakuna hata mmoja...