Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Najua,
Wengi wenu badala ya kujikita kwenye hoja, mtanijadiri na tena siyo tu kunijadiri, ila ni kwa kutoa matusi!
Ni kweli hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, na hii inakuja ili kutufanya tuonekane ni wanadamu na mambo yetu ili yawe sawa, tunahitaji kuwa na migongano ya kifikra na hatimaye kwenda...
Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari.
sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka.
Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli.
Wakati...
Hizi ni facts sio chuki.....
Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia.
Kinyue chake pia vivyo hivyo, wakijiunga Sunni watachukiwa sana na Iran, Lebanon n.k.
Wakiamua wajiunge Sufi, watachukiwa au kuuawa...
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani
Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa
Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea.
Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa imesemaje kwenye digital. Sisemi kwamba watoto waende shule, bali wanaweza kuendelea kujifunza wakiwa...
Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo.
Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini.
Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu.
Msaada tafadhali
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game.
Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
Haya maisha bwana.
Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.
Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini.
Je, ushawahi kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini...
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.
Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia.
Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
Wakuu,
Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza!
Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
Mradi wa Maji Kiluvya NSSF
Eneo la Kiluvya NSSF kwa sasa kuna mradi unaoendelea kutekelezwa na Shirika la hifadhi ya Mifuko ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya wateja ambao waliuziwa viwanja katika eneo hilo.
Mradi huo umehusisha ulazaji wa bomba kubwa la inch 8 kutoka kwenye bomba kubwa la inchi 30...
Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi.
Kwa ivo unaposikia CAG anaposema fedha zinaibiwa kwenye taasisi za umma ujue hapo anamaanisha...
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?
Tembea uone vichekesho.
Fanya mambo yako ewe...
DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo.
Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.