Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29, 2025
Tukio lililo athiri uwazi wa uchaguzi na uhuru wa upatikanaji wa taarifa, hali inayozuia wananchi kupata habari kamili kuhusu matukio yanayoendelea baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Tukio lililo athiri uwazi wa uchaguzi na uhuru wa upatikanaji wa taarifa, hali inayozuia wananchi kupata habari kamili kuhusu matukio yanayoendelea baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.