Kihonda Kanisani
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 144
- 523
Chiefs heshima kwenu...
1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe.
2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano.
3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana ufahamu na kujikinga na machafuko hii inatokana na taifa kuwa na amani kwa miaka yote tangu uhuru.
4 Wapo waliopoteza maisha kwa kutoka ndani na kwenda nje kuchungulia milio ya risasi kujua nani anapigwa .
5 Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa risasi ikipigwa asilimia kubwa ya sauti haiendi kule risasi inakokwenda ,mfano mtu akae mwanzo wa kiwanja na mwingine mwisho wa kiwanja mmoja akipiga risasi kuja kwako usitegemee utasikia sauti inakuja kwako ni kama inapishana na uelekeo wa risasi ( kanuni ya tatu ya Newton). Sauti kubwa atasikia aliyekuwa nyuma ya mbeba bunduki. Risasi haisafiri na sauti yoyote.
5 Watu wengi hawajui namna ya kuondoka eneo linapolia risasi , bado watu hawajui kuwa ukikimbia wimawima unampa nafasi kubwa mlengaji kuliko ukikimbia kwa kutambaa ,wengi wanaamini ukikimbia unawahi kuondoka eneo lenye hatari kuliko kutambaa . Ukweli ni kuwa kuna kazi ngumu kulenga kitu kwa mshazari kuliko kilichosimama. Ukishindwa kutambaa basi unatakiwa kuinamisha mgongo kwakuwa mwenye bunduki atalenga akiwa kaiweka usawa wa kifua basi wewe inama usawa wa kiuno.
6 Watu wengi hawana uelewa wa kutafuta kava risasi inapolia. Wengi waliamini mbio zao . Kava inaweza kuwa karavati, ukuta au kubeba aliyepigwa kama una nguvu za kutosha
7 Kwakuwa hakukuwa na majibizano ya risasi maana yake walengaji walikuwa wanalenga mfurulizo kwa kurilax ikiisha wanabadili masega hawakuwa na upinzani . Nategemea maafa yalikuwa makubwa kuliko tunavyodhani.
8 Watu hawakujua kama wapo vitani. Walionusurika wakaanza kurudi kufanya maombolezo kama kimetokea kifo cha kawaida ,hawakujua tathmini ya maafa hufanyika baada ya kunusurika.
9 Wengi hawajui kuishi kwenye nyakati za machafuko. Mtu allivyokuwa anajiona yeye hausiki anahisi hata anayemuona atajua hausiki. Hujui aliyepewa amri kapewa amri gani.
10 Mwisho kabisa nailaumu sana propaganda kwakuwa imechangia kabisa kuleta maandamano na kabla maandamano hayajaleta maafa.
Propaganda kama " mkilianzisha tu wao wanaingilia" zimechangia pakubwa kuondoka na pumzi za wapendwa wetu.
11 Tuelezane ukweli kuwa kwa namna mifumo ilivyo mingi ya kuteuana na kupandikiziana nyoka ni ngumu mjori kumvimbia boss
Tutalivuka hili lakini hatutakuwa kama mwanzo.