PostGE2025 Waliahidi siku 100 za kwanza, wakumbusheni leo ni siku ya 14 kimya bado wamejifungia ndani tukutane D9!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
 
Ukiwaamini CCM utakua na shida. Hawa watu ni mashetani
 
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
nyinyi nimajambazitu mnaandanana alafu mnatuibia
 
Nachoka sana mimi kijakazi wa Clemence Mwandambo.

Watanganyika wanamuonea wivu Samia, mama yetu kipenzi anayeupiga mwingi usiku kucha na mchana kutwa.

Mtalaaniwa nyie.

Cc: Lucas Mwashambwa UCD
 
Maccm usiyaamini, yameshachukua madaraka sasa yapo busy kuimba maridhiano, yamekuwa maroho na malaku ya madaraka, yamepata yanachotaka sasa yanaanza kuomba maridhiano, majinga sana haya.

Unaridhiana vipi na wauaji?
 
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
njooni tena muibe safarihii ni zakichwa tu mnatumia kivuli cha maandamano kufanya ujambazi
 
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
Wameua watu ,wameteka na kuendelea kuteka sasa hayo walioyoyaahidi wanaenda kumtimiza nani? Haki ya kwanza kuliko zote ni haki ya kuishi.. kama haki ya kuishi wanaipoka hizo ahadi za nini?
 
Hawa dawa ni kuja na gea nyingine KUBWA ya maandamano ya AMANI. Dec 9.nasisitiza ya AMANi..ya siku tatu( 03) mfulilizo, nchi nzima ..NDIO
 
Maccm usiyaamini, yameshachukua madaraka sasa yapo busy kuimba maridhiano, yamekuwa maroho na malaku ya madaraka, yamepata yanachotaka sasa yanaanza kuomba maridhiano, majinga sana haya.

Unaridhiana vipi na wauaji?
kweli maCCM ni KUKU
 
Ni siku 100 ya Serikali yake, baada ya kupatikana waziri Mkuu ndio tunaanza kuhesabu hizo siku 100
 
Back
Top Bottom