bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Bado Siku 11 kufikia kikao azi cha Maafisa Habari

    Bado Siku 11
  2. ward41

    USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

    Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b) technology c) silaha d) Vita e) Biashara Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja. Kama...
  3. Nyanda Banka

    TAMISEMI bado kimya

    Kuhusu ajira tulisikia kuwa kibali kimeshatoka kwa Rais, sasa mbona bado wapo kimya wakati tunakaribia mwaka wa kiserikali na bajeti mpya kuanza kazi
  4. U

    Wasabato mnadai Kanisa Katoliki ni alama ya mpinga kristo lakini bado mnaamini Biblia waliyoindaa Karne 16 zilizopita?!

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia pamoja na kuidhinisha vitabu 73 - 46 katika Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya - ambayo...
  5. Natafuta Ajira

    Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
  6. Pascal Mayalla

    Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  7. G

    Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  8. S

    Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  9. BARD AI

    Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  10. uhurumoja

    Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

    Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
  11. Phdum

    Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

    Kuna mila na imani nyingi saana potofu. Niliishi kwa wajita huko kijiji fulani karibu na kibara. Kuna siku nyoka mkubwa aina ya kifutu alionekana cha kushangaza badala ya watu kuanza kumshambulia walianza kukimbia kila mtu kutafuta njia yake. Baadae wakaja na mfuko eti wanambembeleza aingie...
  12. MAKANGEMBUZI

    Kumbe Nusrat Hanje bado Yupo CHADEMA

    Nipo kwenye mdahalo wa kitaifa wa vijana kuhusu miaka mitatu ya Raisi Samia Hassan na utekelezaji wa ajenda za vijana ......huu mdahalo umeandaliwa na Huyu Mbunge wa viti maalum Nusrat Hanje,mgeni rasmi akiwa PM Majaliwa Nimeshangaa hapa anajitambulisha anatoka CHADEMA. Ila ubunge unalipa kama...
  13. Uncle Mabiki

    Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story

    Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
  14. GENTAMYCINE

    Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

    Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Chanzo: DW...
  15. GENTAMYCINE

    Simba SC tusilazimishe kwa Magumashi ya Airtel Money ili tuwe nafasi ya Pili NBC Premier League, ukweli ni kwamba bado tuna Shida Kubwa za Kimsingi

    Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
  16. C

    Ninahitaji kazi ya ualimu kufundisha Chemistry na Biology

    Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya...
  17. M

    Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni ngumu kutambua matumizi ya umeme kwa mtu binafsi, ni ngumu kudhibiti matumizi ya umeme kwa mtu binafsi...
  18. GENTAMYCINE

    Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  19. G

    Kihasibu hatuna cha kumdai Mo Dewji, Kanunua timu kwa bilioni 20 na bado anaendelea kuigharamia, tutake nini zaidi wanasimba ?

    Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba. Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
  20. F

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
Back
Top Bottom