Weekend nyingine tamu EPL. Pale juu wa kututoa bado hajaonekana

Weekend nyingine tamu EPL. Pale juu wa kututoa bado hajaonekana

Manjesta hili tunabeba
IMG_7253.jpeg
 
Kwakweli tuko vizuri, ila wasiwasi wangu ni kwenye zile mechi 10 za mwisho ndipo Arteta huwa anakata pumzi na kuishiwa maarifa.
Huu mwaka bila shida kikosi kiko vema
 
Asanteni Sunderland, Brentford na Aston Villa.

IMG_0694.jpeg
 
EPL inaendelea kutupa raha, kuna watu mechi nne hawajashinda ata moja.

Arsenal kombe letu huu mwaka. Mnao ogopa makelele nunueni ANC earphones.
United tutabeba ubingwa aseno mkiwa hapohapo
 
Arsenal kikombe ambacho mnaweza kuchukua ni kikombe cha kunywea chai au kahawa
 
Back
Top Bottom