Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni.

Hofu bado ni kubwa sana.

Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
 
Hilo liko wazi. Naishi kando ya barabara ielekeayo kwenye shule x na y, sioni wanafunzi kama ilivyozoeleka tangu shule zianze masomo tarehe 5. Wapo wachache sana.
 
Back
Top Bottom