Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi
GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na Yanga itakuja kumfirisi,akuze mtaji wake kwanza,najua yeye ni Simba damu na yuko pale kibiashara ,mbona...