bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Lugano Edom

    KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  2. Fortilo

    Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

    Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi. Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
  3. K

    Leo nimemuona mama Maria Nyerere bado yupo imara

    Leo Katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, nimemuona mama yetu mama Maria Nyerere akipokea picha ya mwalimu Nyerere toka Kwa mpiga picha mzungu. Kusema ukweli nimefurahi sana kumuona bado yupo imara. Tena ametoa bonge la maoni juu ya maendeleo ya nchi Kwa Sasa. Hii...
  4. Leejay49

    Watu wema bado wapo na wanaishi

    Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana, Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,. First of all mie ni mtu ambaye siwezagi kukaa na kitu rohoni kwakweli,. Ila sio muongeaji kwa watu wangu wanaonizunguka, so...
  5. JanguKamaJangu

    DOKEZO Kampeni ya 'Mchukue Mtoto Mrejeshe kwa Wazazi Wake' imefeli Mwanza? Bado wapo wengi mitaani

    Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani. Kumekuwa na kusitasita jinsi ya kushughulikia changamoto ya watoto wa mitaani ambao asilimia kubwa wamekuwa wakifanya kazi ya kuombaomba...
  6. Nehemia Kilave

    Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

    Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu. Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo . Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa...
  7. Q

    Nipe ndo nikupe!!! Butter trade Bado haijaisha kumbe!!!

    Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta. Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext. Mimi..." Dear X, kwema". Ex.... " Kwema sanaa, vipi nawe". Mimi ... " Niko poah , ila nimechalala hataree , niwezeshe basi 1k...
  8. sinza pazuri

    Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  9. KENZY

    Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

    Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea. Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado hazijategua kitendawili!, vilevile uwepo wake hapa Africa na nikiambiwa kuwa waafrika ndio waasisi wa...
  10. K

    Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

    Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa. Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa! Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8 Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
  11. Mad Max

    Kuna Tesla Model 3 imefikisha kilometa 500,000 na bado iko na original battery inayosoma Battery Health 85%

    Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5. Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya. Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change...
  12. Mayor of kingstown

    Muache kabla hajakuacha, hata kama bado unampenda

    Sita wakumbusha tena ukiwa kwenye mahusiano na unaona ume jaribu kila njia kuresolve matatizo yenu lakini bado unaona upendo umeegemea upande mmoja au mmoja wenu ni kama hayupo tayari kuruhusu suluhu ni kheri umuache kabla ajakuacha ita kusaidia sana . Hili naandika nikiwa na experience nalo...
  13. Li ngunda ngali

    Mbowe hawezi kupambana na matakwa ya muda

    Muda huwa ni Mwalimu sahihi kwa lolote jambo, Mfalme mpya bwana Mbowe yampasa atambue. Bwana Mbowe anaweza kuhonga pesa kwa wapambe akidhani atabadiri upepo umtakao aondoke. Bwana Mbowe anaweza kuahidi vyeo kwa vyawa wake ili kwa kujidanganya huenda watampigania ili labda ile kukubalika kwake...
  14. ward41

    Uzalishaji wa Mafuta Duniani, bado USA kaziacha by Far nchi za Gulf States

    Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana. Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani. Ukijumlisha na...
  15. Bams

    Kwa Fomula ya Mbowe, Samia Suluhu Hassan hatakiwi kugombea Urais

    Mbowe kwenye hotuba yake, akielezea kuwa hawezi kuwaachia watu wengine waongoze chama, baada ya yeye kuwa mwenyekiti kwa miaka 21, alisema kuwa Mtei aliachia umwenyekiti wa chama alipofikishia umri wa miaka 68. Halikadhalika, Bob Makani naye aliachia uongozi wa chama alipofikisha umri wa miaka...
  16. MR BINGO

    BADO SIJAPATA MAJIBU YAPATA MIAKA MIWILI SASA

    https://www.jamiiforums.com/threads/chadema-tunaombeni-majibu-ya-swali-hili.2035250/
  17. R

    Kibwana Shomari bado ni beki mzuri na mbishi hasa

    Kibwana Shomari ni mtu bado wa maana sana alikosa kuaminika na Gamondi hili sijui lilitokeaje lakini ni beki anaejua vizuri majukumu yake uwanjani.. Nimemuona kwenye hizi mechi mbili huwezi amini kama ni mtu ambae hajapata nafasi ya kucheza kwa muda mrefu. Jamaa anajua kukaba anajua...
  18. M

    Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

    Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness. Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje. Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na...
  19. Trainee

    Swala la Elimu bado serikali inatania kwenye baadhi ya mambo

    Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
  20. Allen Kilewella

    Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

    Falsafa za Fadlu kipindi cha pili itasababisha siku Simba ifungwe magoli mengi Mohamed Hussein anatoa boko nyingi sana siku hizi.
Back
Top Bottom