bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    Banana Zorro - Bado Kidogo

    https://youtu.be/xZIpD10kjbs?si=az9o6w-wjTynf73m
  2. Megalodon

    Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

    Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi! Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda...
  3. DR HAYA LAND

    Bado naona Salum Mwalimu akiwa hajatumika ipasavyo CHADEMA, bado ana vitu vingi vya ku-offer

    Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi . Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya masoko na pia nimewahi kufanya nae kazi katika taasisi Fulani . Ni Kijana smart ,humble and goal...
  4. I

    Freeman Mbowe bado haamini kilichotokea

    Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo: 1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za uongozi na utendaji na kuweka wale wanaomtii na nidhamu ya woga. 2. Kutokuwa na msimamo madhubuti...
  5. kagoshima

    Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

    Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
  6. W

    Serikali iache kujaza vyuo mikoa michache, Ni upendeleo wa wazi kutumia rasilimali za taifa kujenga vyuo mikoa michache huku mikoa mingine hakuna vyuo

    Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k. Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache Dar es...
  7. Princep

    Nyumba ambayo bado haijaisha inauzwa

    NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM YENYE CHUMBA CHA MAKABATI YA KUHIFADHIA NGUO. SEBULE, DINING, JIKO, STOO NA PUBLIC TOILET. INA KORIDO PANA KUELEKEA VYUMBANI. RAMANI YAKE NI NZURI NA YA KISASA. ENEO LINA UKUBWA WA 20 UPANDE WA KULIA, KUSHOTO 20, NYUMA 20 NA KWA...
  8. mdukuzi

    Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

    Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei. Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
  9. Raia Fulani

    Hii litania bado valid?

    Hebu wakuu nanyi muicheki tuone kama bado inalipa. Hii iliandikwa kipindi kile cha mwaka 2015 wakati TAL anagombea urais. Katika uzi mmoja nikasema kama wakivuka salama hawa wakuu na FAM akawa mkiti, basi maridhiano yawe kwamba TAL apambane tena na SSH Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie...
  10. Msanii

    Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  11. Dr leader

    Watu wema bado wapo

    WEMA BADO WAPO 1. Nilipo pata ajali, ndipo nilipofahamu Wachache wanaojali, tena wasonifahamu Jaribu ni ja jabali, lahitaji utimamu Watu wema bado wapo 2. Walojidai mapenzi, tele ningali mzima Hakuna wakunienzi, kuutuliza mtima Nilipouona mwezi, nilihimidi karima watu wema bado wapo 3...
  12. Mtu Asiyejulikana

    Bado tunaendelea kumlaani Netanyahu kwa aliyoyafanya huyu Jamaa ataangamizwa vibaya

    Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa nikamshukuru Mnyaazi. Jamaa likaondoka Hosp kabla halijapona ili likaendeleze kichapo. Yule si...
  13. L

    Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya ya Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe ambaye ametangulia mbele za haki. Soma TANZIA -...
  14. Eli Cohen

    Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  15. SAYVILLE

    Kwa nini bado wafanyabiashara wa rejareja wanauza mchele na karanga ambazo hazijachambuliwa?

    Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sana na sijawahi kupata jibu. Inakuwaje unaenda dukani unakuta muuzaji anauza mchele au karanga ambazo hazijachambuliwa? Inafikirisha sana karne hii na zama hizi bado tunanunua mchele wenye mawe, na kwa kuwa unapimwa ule uchafu nao pia unalipia. Hivi...
  16. MamaSamia2025

    Kwa aina ya uwekezaji unaofanyika bado Afrika itaendelea kuwa maskini

    Huu uzi ningeshauandika kitambo ila wakati nataka kuandika ndo likatokea janga la moto huko Marekani. Wataalamu wameshaongea kuhusu sababu za moto na kutaja kuwa chanzo ni moto wa mwituni ulioenea kwenye makazi ya watu. Ni janga la asili. Wakati uchunguzi ukiendelea ndo wamejitokeza baadhi ya...
  17. Mr Why

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  18. Technophilic Pool

    Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

    Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
  19. N

    Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

    Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
  20. muafi

    Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
Back
Top Bottom