Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.
1. Kifo cha JPM ni fumbo tata na kina maswali mengi kuliko majibu.
2. Baada ya kifo cha JPM, hata zile kelele za Corona this Corona that hatuzisikii tena, badala yake maisha yanaenda kama kawaida....kwa wenye kutafakari hii inatupa TAFSIRI kubwa sana.
3. Mradi wa Bagamoyo ambao...
Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.
Wanajenga mali yao wenyewe.
Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.
Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo.
Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa...
Ndugu Watanzania wenzangu, pamoja na siku 21 za kuomboleza kifo cha Hayati Dr. Magufuli kuisha. Mimi bado naomboleza mpaka 40 yake ipite!
Kuna makala yangu moja humu JF niliwahi kumtahadharisha Hayati Rais Magufuli kuhusu wanafiki walio mzunguka!
Nilimwambia akiondoka madarakani hakuna hata...
Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k
Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba
Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo
Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya
Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika...
Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji.
Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya.
Je, Mh Ndugai...
Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama bandari ya kimkakati iwekewe gari(berth) ambazo bandari nyingine hazina. Pia ujenzi wake kama utapitishwa itabidi tenda itangazwe upya na mzabuni atakayeshinda ndio atajenga tusimkumbatie mchina hata kama ni rafiki yetu.
Tanzania tangu tupate uhuru hatuna...
Habari za Leo wakuu,
Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR.
Hivyo vitu viwili vinaingilianaje?
Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR?
Naomba kuwasilisha mada mezani
Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani mmoja mmoja, na hatimae wote wanakuwa kitu kimoja. Wakishakuwa kitu kimoja wanaanza kuimba wimbo mmoja...
Ndugu zangu watanzania,
Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu.
Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania.
Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi?
Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia.
Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo.
Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu.
Nawakumbusha...
Habari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina...
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
Beach plot for sale Bagamoyo
Viwanja vipo eka 3 na lina hati miliki kila eka moja bei yake 120million maongezi yapo.
[emoji1428] eka moja tsh: 120million maongezi yapo
[emoji3591]viwanja vinagusa maji kabisa
[emoji3513]0712943877=0789076089 kalibuni sana
Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi.
Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja.
Ikumbukwe mradi huu...
Habari zenu wadau.Kuna kiwanja nataka kukinunua Bagamoyo Kaole naombeni ushauri wenu.Sqm 1000 sh million 12 ni karibu na beach (500metres from the beach).
Plan yangu ni baadae kujenga vi apartments hata vinne vidogo kwa ajili ya watalii wanaokuja kuvipangisha.Lakini pia nina option ya Kiromo...
Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo.
Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe.
Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya...
1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM.
2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.