bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao. Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote. Chanzo: ITV...
  2. L

    Ujenzi wa Bandari Bagamoyo, wananchi 9800 kulipwa fidia

    Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi. Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka...
  3. Escrowseal1

    Ushauri kwa Serikali kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mradi wa Bagamoyo ni moja ya miradi iliyoko mioyoni mwa watanzania nikiwemo Mimi japo wengi hawasemi Kwa sasa. Ni Kati ya vitumbua vya Taifa vyenye mchanga. Huu mradi ni kipimo Kwa Serikali ya Mama Samia maana ni kati ya miradi tukiingia kichwa kichwa mchina atakuwa kapata upenyo wa kutukaba...
  4. Analogia Malenga

    Msanii Vitalis Maembe anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za “kuimba nyimbo za kuitukana Serikali”

    Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali. Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha...
  5. Dr Restart

    Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainabu Abdallah akionesha umahiri wake katika Mashairi

    Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah ameonesha utaalamu na uwezo mkubwa wa kushusha mistari huku akiwa amerelax kabisa. Binti huyo mrembo, ameonekana katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii akichana kwa lugha ya Kiingereza kwa lafudhi ya Kimarekani kama Mwanamuziki Nick Minaj...
  6. K

    Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi. Kwa kutoa...
  7. Red Giant

    Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  8. Pile F

    Bribery and corruption: Athreat to an early Bagamoyo Port

    Habari gani Wakuu ninaamini mpo vyema kabisa. Naomba Moja kwa moja niende kwenye mada Tanzania ni Taifa lenye bahati kubwa. Wazo la bandari ya Bagamoyo ni la kipekee na Mataifa Mengi yangeona yapo nyuma mno kama nchi ya Tanzania ingekuwa na hii bandari leo. Mradi huu umeachwa na kuchelewa kwa...
  9. Magari Nusubei

    Plot4Sale Nina shida: Nauza shamba langu heka 15 Bagamoyo bei ya kutupa

    Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana. Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15. Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote. Bei ni milioni 15 (15,000,000/=) tu Nauza lote...
  10. Mohamed Said

    Ngome ndogo ya von Wissman Bagamoyo

    NGOME NDOGO ALIYOJENGA HERMANN VON WISSMAN BAGAMOYO Kiasi cha miaka 10 iliyopita nilifika kwenye hii ngome ndogo aliyojenga Hermann von Wissman wakati jeshi lake lenye askari wa Kinubi na Kizulu walipokuwa wanapambana na jeshi la Abushiri bin Salim Al Harith. Wakati huo niliikuta ngome hii...
  11. Mzee Mambo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bagamoyo vijijini

    Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI) Mahali: Bagamoyo vijijini Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI) Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA. Huduma za kijamii zote zinapatikana. Usafiri ni wa Gari na Reli. Umbali ni 40km kutoka Barabara kuu...
  12. beth

    #COVID19 Rais Samia: Silazimishi watu kupata chanjo, kila mtu ni mkubwa ana akili yake

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Zinga, Bagamoyo amesema halazimishi watu kupata Chanjo dhidi ya COVID-19 akieleza, "Kila mtu ni mkubwa ana akili yake. Vituo vipo ukijihisi unataka kwenda nenda, ukiona bado hutaki ni wewe na maamuzi yako" Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua...
  13. S

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania. Karibu uweke comment yako.
  14. Magari Nusubei

    Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  15. maroon7

    Traffic Lights Bagamoyo Road nyingi sana mpaka kero

    Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
  16. RealEstate Agent

    INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  17. Q

    Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
  18. K

    Tenda ya Bandari Bagamoyo itangazwe upya kwa uwazi

    Hatutaweza kupata mkataba mzuri kama mwekezaji anajua yuko peke yake! Tunachotaka tunajua na mradi utangazwe kama tenda ili wadau wengine na mashirika mengine nayo yaweze kuleta tenda zao. Kuna watu serikalini na wanasiasa wameshawekwa mfukoni na China kwa kupewa visafari na visemina vya kijinga...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  20. chiembe

    MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

    Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa. Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR, Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa...
Back
Top Bottom