Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.
Nashauri hivyo ili kuliongezea jiji la Dar eneo kijiografia pia wilaya hizo ni kama zimejitenga kimkoa wa Pwani na wilaya zingine
Nashauri mkoa wa Pwani ubaki na wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Rufiji, na Mafia
Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali!
Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani.
Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya ghorofa moja (3 bedrooms/Jiko/ Ukumbi na mbele kuna frame 3 kubwa sana (6*8 m)
Bei ni 450...
Habari zenu!
Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo.
Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja Bagamoyo lakini kwa sasa nipo mkoani kikazi sitaweza kufika ofisini na kufanya maulizo.
Naomba mtu...
Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha 2023/24, ikiwa itafikia makubaliano na wawekezaji kuanza kazi kabla ya muda huo.
Wazo la ujenzi wa bandari wa Bagamoyo lilianza wakati wa Serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete. Hata hivyo, Serikali ya...
Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa alibainisha jana kuwa hawatalazimika kusubiri zaidi wawekezaji kuanza ujenzi wa bandari hiyo.
"Wawekezaji wataungana nasi...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa.
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji.
Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa.
Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa
NB. Kwenye suala na...
VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA
VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu.
Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
Wakuu,
Kama filamu ya Royal tour itakuwa na part two basi haya maeneo yatakuwa ni mazuri mno kuunganishwa Kwa filamu hiyo. Itasaidia sana kuongeza utalii Na kuinua uchumi wa eneo la bagamoyo. Baada ya kuyatembelea huko bagamoyo nimeshangaa sana kwanini hayatangazwi zaidi kwani yamebeba historia...
Tuliamka asubuhi na mapema mimi, kaka yangu na dada angu tukaanza safari ya kutoka Mlandizi kwenda Bagamoto kwa miguu. Ikumbukwe wakati huo usafiri ulikua ni wa shida, hivyo suala la kutembea kwa miguu lilikuwa ni jambo la kawaida tu. Mpango wa safari yetu ulikua tutembee kutoka Mlandizi mpaka...
Sioni tija yoyote ya matengenezo yanayoendelea barabara ya bagamoyo (Mbezi hadi Tegeta) kufanyika sasa.
Kinachofanyika sasa nakifananisha na uharibifu au fursa ya upigaji!
Kwanza hakuna mpango kazi mzuri kwasababu wanakwangua barabara na kuiacha barabara katika hali mbaya zaidi kwa mda mrefu...
Eneo linauzwa Heka mbili zote kwa Tzs. 16,000 ,000
Mahali: Eneo lipo km 4 kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo, ukitokea bunju Ni upande wa kushoto kabla hujafika Bagamoyo mjini .
Lipo karibu na shule ya msingi MATAYA . Eneo Lina Michungwa na minazi
Unaweza Shuka Kitopeni au Kibaoni kabla ya...
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
============================
Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.