bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri na maoni yangu kuhusu Bandari ya Bagamoyo

    USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO. Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
  2. S

    Karibuni Wachina na mikataba yenu ya ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
  3. MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

    Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa. Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha nchi. Tunaomba radhi kwa Mama Samia, watanzania wote pia #matege Code-SSH-2025
  4. K

    Tukaribishe makundi mengine ya uwekezaji katika Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mradi wa Bagamoyo ni drama za ajabu sana huwezi kupata faida kwenye mkataba kama unaongea na mwekezaji mmoja tu. Kama China na Oman wanajua wako peke yao serikali itakuwa kwenye wakati mgumu sana kuweza kujadili mkataba mzuri. Hivyo ushauri wangu ni kutangaza upya uwekezaji maana siku hizi...
  5. Bagamoyo port is back

    Tanzania in talks with Chinese investor to revive Bagamoyo Port, says President Samia SATURDAY JUNE 26 2021 Summary The $10 billion Bagamoyo project construction was suspended by late president, John Magufuli on January, 2016. By Bethsheba Wambura More by this Author Dar es Salaam...
  6. S

    Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
  7. P

    Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi? kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
  8. Bandari Bagamoyo: Job Ndugai historia itakuhukumu, umeonesha unafiki mkubwa, ni heri ukae kimya

    Hebu tumtazame Job hapa chini. Huyu alikuwa kiongozi wa Mhimili au vip?..Mbona amekuwa mnafiki kiasi hiki huyu mzee? https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-ataja-sababu-kusitisha-ujenzi-bandari-ya-bagamoyo-kwa-mkopo-wa-dola-bilioni-10.1593875/...
  9. Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  10. Bagamoyo Road kuna nini leo, mbona foleni kubwa sana?

    Daah, nimevumilia uzalendo unaelekea kunishinda. Tangu saa moja jioni niko Tangi Bovu, magari hayaendi, watu wanatanua na magari yao ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜  Kidogo wamegongana halafu wanawasha hazards kuanza marumbano namna ya kutengenezeana magari na nani mwenye makosa.๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜  Wanazidi kuongeza foleni barabarani...
  11. Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
  12. Bandari ya Bagamoyo ni muhimu jana, leo na kesho.

    Tanzania imebahatika kuwa na mwambao mrefu sana wa bahari kuliko nchi nyingi barani Africa. Sisi tuna Zanzibar yote iliyozunguukwa na bahari, tuna Tanga mpaka Mtwara maji ya bahari tu. Ikiwezekana tuwahamishie Bara baadhi ya wakazi wa Zanzibar ili kupata nafasi ya kujenga ports kubwa nyingi...
  13. DAWASA kuweni wakweli kupasuka bomba kubwa la Maji Bagamoyo rd

    Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM. Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli. Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani . DAWASA...
  14. Wakati Watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

    Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii...
  15. Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  16. C

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
  17. R

    Kwanini tusijenge Bandari ya Bagamoyo tusijenge kwa fedha zetu wenyewe?

    Ndugu Watanzania, Nimejaribu kufatilia nchi yetu na kuona kuwa miradi mikubwa inayofanyika au inayotarajiwa kufanyika tunategemea zaidi pesa kutoka nje ya nchi kama mikopo au wawekezaji. Leo ninataka kujikita zaidi kwenye neno wawekezaji ili nitowe mawazo yangu kwa nini sisi watanzania...
  18. Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
  19. Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka. Hata hivyo, miaka...
  20. J

    Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

    KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ