bahari

Maziar Bahari (Persian: مازیار بهاری‎; born May 25, 1967) is an Iranian Canadian journalist, film maker and human rights activist. He was a reporter for Newsweek from 1998 to 2011. Bahari was incarcerated by the Iranian government from June 21, 2009 to October 17, 2009, and has written a family memoir, Then They Came for Me, a New York Times best seller. His memoir is the basis for Jon Stewart's 2014 film Rosewater. Bahari later founded the IranWire citizen journalism news site, the freedom of expression campaign Journalism Is Not A Crime and the street art and social justice project Paint the Change.

View More On Wikipedia.org
  1. May Day

    Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  2. Howl69

    SoC02 Sayansi na Teknolojia: Wimbi kubwa la mabadiliko juu ya bahari utulivu za Afrika

    Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika ulimwengu wetu huu wa kisasa na wakati mwingine unaweza kuwa upanga ukatao kuwili; inaweza kusaidia...
  3. Jamii Opportunities

    Senior Sales Manager at TUI Blue Bahari Zanzibar

    Senior Sales Manager Zanzibar TUI Blue Bahari Zanzibar TUI Blue Bahari Zanzibar is a luxurious resort set on the beach of Kiwengwa on the North East Coast of Zanzibar. TUI Blue Bahari Zanzibar is an award-winning hotel situated in the northeast coast of Zanzibar, in Kiwengwa, amidst lush...
  4. MK254

    Baada ya China kupiga bahari mabomu, Marekani nao waamua kwenda kufanya operetion za kivita hapo mahali

    Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli.... A senior US official said Friday the US was set to conduct "freedom of navigation" operations in the Taiwan Strait during the...
  5. Diversity

    China yahitimisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi. Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory. What did China say...
  6. MK254

    China yahimitisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    Mikwara imeisha, wamesubiriwa wafanye kweli ila ndio kama hivyo USA alishaingia mkataba kuigusa Taiwan umeigusa USA. Sasa Wachina wanageuza baada kupiga bahari mabomu...... China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House...
  7. Mwande na Mndewa

    Taratibu Uzee na Nadhifu: Rubani wa ndege ya jet na rubani mkongwe wa airbus

    TARATIBU,UZEE NA NADHIFU;RUBANI WA NDEGE YA JET NA RUBANI MKONGWE WA AIRBUS. Leo 11:05hrs 17/07/2022 Ndege ya Airbus 380 ikiambaa juu ya bahari ya Atlantic,Ndege ya kivita Jet inatokea,rubani wa ndege ya kivita aina ya Jet anapunguza mwendo,anaambaa karibu kabisa na ndege ya Airbus,anachukua...
  8. Nyankurungu2020

    Haiingii akilini Serikali kupendekeza kuanzisha tozo ya ving'amuzi wakati kuna mapato yanapotea eneo la uvuvi wa bahari kuu. Huu ni uonevu usiofaa

    Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya ving'amuzi. Yaani unawakamua wananchi ambao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa. Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi...
  9. Lycaon pictus

    Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Eti wakuu Kabla ya kuitwa bahari ya Hindi, wakazi wa asili wa pwani kama Wazaramo na Wakwere waliita jina gani?
  10. Lady Whistledown

    Juni 8: Siku ya Bahari Duniani

    Kila mwaka ifikapo Juni 8, Siku ya Bahari Duniani huadhimishwa ili kuwakumbusha watu umuhimu wa bahari katika maisha ya kila siku na matishio mbalimbali yanayoikabili bahari zikiwemo shughuli za kibinadamu Katika nafasi ya mtu mmoja mmoja, tunaweza kulinda na kutunza bahari kwa kupunguza au...
  11. Influenza

    TAHADHARI: Upepo mkali na mawimbi makubwa katika bahari ya Hindi - Juni 2 na Juni 3, 2022

  12. Lycaon pictus

    Waliojenga kando ya bahari au maziwa, majitaka yao huenda wapi?

    Kwa hapa Tanzania, na huko Ulaya. Huwa yanaenda wapi?
  13. kavulata

    Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

    Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu...
  14. N

    Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  15. MakinikiA

    Wataalam fanyeni "desalination" maji ya bahari yatumike siyo kung'ang'ania maji ya mito

    Salama wandugu, Nimesikitika sana nilipomsikiliza mkurugenzi wa maji Cyprian akisema kilichobaki wananchi wa DSM waombe Mungu ili inyeshe mvua kweli engineer huna option kabisa. Nchi za wenzetu wanafanya desalination kuondoa chumvi na chemical zingine ndipo yanatumika, umeme unazalishwa kwa...
  16. I

    SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  17. C

    Utajiri ulio baharini

    ‌Utajiri wa baharini:Dhahabu imejaa baharini kwa sababu ya kuzama kwa meli kadhaa za kale ‌Kuna mali ya thamani ya mamilioni ya dola inayoharibika katika bahari mbali mbali duniani . Mali hiyo ni pamoja na maelfu ya tani za dhahabu na vito vya thamani ambavyo vilizama pamoja na meli...
  18. K

    Bahari imechafuka

    Haiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai. Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa. Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia...
  19. SirAlfred006

    Sea Food is the best

    Macho makavu
Back
Top Bottom