Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu.
Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa...