bajeti ndogo harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango. Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6. Naomba ushauri wenu wakuu.
Back
Top Bottom