Dhima kuu ya bajeti ya mwaka 2022/23 ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”
Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.