Habari JFers
Natumai nyote muwazima.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si dalali). Bajeti yangu ni TZS 3,000,000 tu.
Sizingatii namba ya gari, nitakachozingatia ni GARI KUWA KATIKA...