bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wisdom Flag

    NATAFUTA CAMERA NZURI USED BAJETI YANGU 800K

    Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
  2. sky soldier

    Paka kuchukuliwa kama mwanafamilia kwa kutengewa bajeti yake, inakubalika?

    Kuna paka na mbwa hapa nyumbani kwangu, Sina tatizo na gharama za mbwa kwa sababu ana msaada kiasi kwenye swala la ulinzi. Kwa huyu paka huwa inanifikirisha sana maana hatuna tatizo la panya ila watoto wangu kwa kuwa wanapenda paka nikaamua niwarusu wamfuge. Kimbembe kipo huku mama yao (mke...
  3. peno hasegawa

    Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

    Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
  4. CM 1774858

    Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

    Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
  5. CM 1774858

    Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  6. beth

    Nigeria: Serikali kukopa zaidi ya Dola Bilioni 10 kufadhili Bajeti

    Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022 Kumekuwa na malalamiko kuhusu Mikopo ya mara kwa mara ya Serikali lakini Rais Buhari ameendelea kusisitiza kiwango bado ni...
  7. CM 1774858

    Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

    Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita, "Hakuna kama Samia " Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzania hawa masikini...
  8. Kaaya10

    Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya, badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini?

    Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini. Hakikisha una bajeti ya pesa zako, Itakusaidia kujua kiasi gani kinaingia kutoka wapi na kiasi gani kinatoka kwenda wapi. Usianzishe jambo bila kujua gharama na faida zake...
  9. R

    Ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Dar es Salaam unahitaji bajeti ya milioni ngapi?

    Salaam wakuu, Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu. Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
  10. Chendembe

    Serikali iangalie vizuri bajeti za matamasha na makongamano

    Wakati Tanzania tunakabiliwa na changamoto nyingi mno za kijamii, imezoweleka Sasa kuona Serikali ikifanya mikutano, warsha, na sherehe mbalimbali ambazo gharama zake ni zaidi ya umuhimu wake. Gharama hizo zinahusisha na uhanasishaji, muda wa kutoa huduma kwa wananchi kwa vile maofisi yanakuwa...
  11. Erythrocyte

    Kwanini Pesa za serikali zilizoongezwa kwenye bajeti ya kununua Mahindi zinaitwa pesa za Rais?

    Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini. Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka kwenye Mshahara wake bali ametoa hela hii kutoka kwenye Mfuko wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  12. S

    Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Ipe bajeti nyumba ya ndoto yangu

  14. peno hasegawa

    Mtanzania aliyebahatika kuiona bajeti ya TARURA 2021/2022 kwa kila halmshauri nchini tafadhali?

    Hali ya Barbara za Halmashauri za wilaya maeneoya vijijini NCHINI ni mbaya. Kuna uwezekano TARURA haijapewa fedha kuanzia July 2020 Kwa ajili ya bajeti ya 2021/2022. Au serikali inasubiri Nini kutatua changamoto ya Barabara za vijijini? CCM imenyamaza kimya ilihali waliomba kura na kupewa kura...
  15. Naanto Mushi

    Madhara ya kufeli kwa bajeti ya Mwigulu tutayaona kwenye deni la Taifa

    Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri. Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo...
  16. jacob kipesha

    SoC01 Viongozi Walevi na Maamuzi ya Bajeti ya 2021/2022

    Habari Mpendwa msomaji wa JamiiForums, Leo nimeona nitoe uelewa wangu huu ili niwashirikishe jamii ya kitanzania, hasa wapenda maendeleo na wale wanao tamani kuiona Tanzania ikikua kiuchumi, kutoka hapa tulipo, yaani uchumi wa kati wa chini, Nakwenda uchumi wakati wa kati hadi wa juu. Suala la...
  17. C

    SoC01 Kwanini Wabunge hushangaa bajeti na sheria za ajabu walizopitisha wao wenyewe Bungeni?

    Moja ya sababu inayofanya wabunge kushangaa sheria au bajeti walizopitisha wao wenyewe ni kwasababu ubunge haujakaa kama taasisi. Ibara 67 ya katiba ya Tanzania inaeleza sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.Na ibara ya 63 na 64, kazi ya mbunge ni kushiriki kwenye kutunga sheria na...
  18. peno hasegawa

    Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  19. Red Giant

    Kama bajeti ni sheria, ina maana kutoitimiza kwa 100% ni kuvunja sheria?

    Waziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake kwa asilimia nyingi sana. Je, kutotimiza huko siyo kuvunja sheria kunakohitaji mtu kushtakiwa?
  20. P

    SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

    Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
Back
Top Bottom