Kenya kainchi kadogo kenye raslimali chache, ila tunajtuma mithili ya sisimizi, sijui lini Watanzania wataamka na kufanya chochote cha maana, GDP yetu inaelekea kuwa mara mbili ya Tanzania, ukizingatia Tanzania ni muungano wa mataifa mawili yenye raslimali kedekede, sijui wana gubu au nini hawa...
(i) Kutoza tozo ya shillingi 10 hadi shilingi 10,000 katika kila muamala wa kutuma au kutoa pesa. Kiasi cha tozo kinatofautiana kulingana na thamani ya muamala wa fedha unaotumwa au kutolewa. Pendekezo hili litaongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 1,254,406.14; na
(ii) Kutoza...
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.
Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu...
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali
Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi?
Hivyo kweli tutaendelea
nchi yetu kiuchumi? Bajeti aliyotoa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu ili ipitishwe na Wabunge ni bajeti mbaya haifai kupitishwa Wabunge.
Tunamuomba Waziri wa Fedha na Mipango Dkt...
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa.
Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa...
Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi...
Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Edwin Swale amesema Bajeti wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeanza vibaya na haina matumaini kwa Watanzania wengi, Wabunge wote wanalalamika na Waziri naye amekata tamaa.
Amesema Wananchi wa Lupembe wamekuwa wakifurika kwenye Kampeni na kushangilia ujio wa barabara...
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA wakati hiyo ni budget yangu miezi 2.
Malengo yangu kwa sasa ni kuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.
Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio tu 170 M hivi mnatutendea haki vijana wa kitanzania na wananchi kwa ujumla. Mlidanganya ajira za...
Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli .
--+
Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia.
Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda...
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.