Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
Habari wanaJF,
Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu.
Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari.
Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti.
Mwandishi Moses Methew alimpinga Pascal kwa...
Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni.
Kwa nchi za...
Kwanza niisifu bajeti ya Jana kwa sababu Tu inaenda kuniongezea Ka mshahara kangu angalau kwa sh. 100,000.
Msishangae eti nasifia bajeti "Binadamu asili yake ni ubinafsi, siku zote husifia pale kwenye maslahi yake Tu" Ndo tulivo binadamu.
Nikienda kwenye mada ya bajeti ya Jana, kuna Jambo...
Baadhi ya marekebisho ya kodi
KODI YA KIPATO (PAYE)
Wanaopata chini ya tsh 270,000 kwa mwezi kutokakatwa kodi ya mapato.
Watu wa kipato cha Zaidi ya 270,000 kwa mwezi lakini ni chini ya 520,000 watalipa kodi 9%
KODI YA ZUIO KWA HUDUMA ZA MTANDAO
Bajeti imeweka kodi ya zuio ya 10% kwa mawakala...
Mungu ni mwema hatimaye bunge la Ndugai linafikia tamati kwa utulivu na amani.
Lakini mkutano huu wa bunge la bajeti utaacha historia ya aina yake.
Mosi, wabunge watatu mashuhuri wamefariki wakati bunge likiendelea na vikao vyake.
Pili, Wabunge wa Chadema wakiwa ndani ya bunge wametangaza...
Watu hawaelewi siri ya bajeti wengine hawataki kusikiliza kabisa matokeo yake hukosea kwenye maisha baadaye kuilalamikia serikali.
Bajeti hii moja ya malengo yake iliyoweka ni Kusomesha kwa wingi Wataalamu kwenye Fani na Ujuzi Adimu/Maalum
Wahindi na wawekezaji wa ndani na nje na...
Lazima kuna kitu hakiko sawa akilini mwa viongozi wetu na mashabiki wengi wa siasa wasio na uwezo mkubwa wa kufikiri kwa makini. Leo nasoma bajeti ya serikali, nakutana na maneno kwamba bajeti yetu pia itategemea msaada kutoka kwa washiriki wetu wa maendeleo (development partners).
Sasa mimi...
Nimejaribu kupita mitandaoni, hasa Twitter kujaribu kuona reaction ya wadau hasa wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wasomi mbalimbali juu ya Bajeti ya Serikali iliyosomwa jana ila cha ajabu wanajadili au kuongelea maswala mengine tofauti huku Bajeti ya nchi wakiipa kisogo kama vile haipo...
Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%
Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT""
Ila nakumbuka mwaka 2018...
Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
=======
Hotuba Ya Waziri Mpango Akiwasilisha Bungeni Bajeti Ya Mwaka 2020/21
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2020/21. Bajeti hii ni ya tano ya Serikali inayoongozwa na...
“Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM
“Watu wanapotengeza dawa za...
Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma
Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande
Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
Nimejaribu kuangalia kwenye ripoti mbalimbali za kiserikali (Wizara ya Fedha) na Benki Kuu Ya Tanzania n kugundua kwamba, katika kipindi cha miaka mitano 2015/16- 2019/20 serikali imeshindwa kabisa kujinasua hasa utekelezaji wa bajeti. Ukiangalia ripoti hizo kiwango cha juu cha utekelezaji ni...
Jana Spika Ndugai amesema pamoja na kwamba bajeti yetu imewahi kukamilika bado itatulazimu kuwasubiri " Wenzetu" wa Kenya, Rwanda na Uganda ili tuzisome kwa pamoja tarehe 11 June.
Maana yake ni kwamba wabunge wataendelea kuwepo Dodoma wakiisubiri hiyo tarehe ya " pamoja " kisha wataendelea...
Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale n.k.
Kufuatia janga la Covid19, ambalo linaonekana kuendelea kuwepo katika jamii, napendekeza, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.