Baada ya kutangaza hapa awali kuwa itampeleka mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza, Shirika la Marekani la Anga za Juu (NASA) sasa limesema kuwa itampeleka mwezini mtu mweusi katika Mpango wake wa Artemis.
NASA imetoa pia ombi la bajeti yake itakayowezesha kumpeleka mwanadamu mwezini kwa mara ya...
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
Macho na masikio ya wananchi yapo Dodoma kwenye Bunge la Bajeti kufuatilia ikiwa bajeti hii itakuwa mkombozi kwa wananchi ama la.
Ikumbukwe bajeti nyingi za awamu ya tano zilijielekeza kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo mathalani ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR, Stieglers...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30.
Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kuenzi maisha yake.
Pia wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia...
Mfukoni nina 300,000/=.
Nikijipiga sana, naweza ongeza ikafika 350,000/=.
Nahitaji flat screen inchi 32, naombeni msaada wa vitu viwili:
1. kwa bajeti hiyo nitapata TV ya inchi 32?
2. kama nitapata nichukue brand gani?
Kama kuna anaeweza kunielekeza na duka kabisa nikaenda nikachukua itakua poa.
Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5 million.
Karibuni kwa mani yenu.
Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana.
Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.
Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake...
SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88.
Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850
Nataka nijitahidi nichukue mpya
Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za USB
Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya...
Happy New year ndugu zangu,
Mwaka ndio umeanza kwa kasi namna hii na wengine ndio kama hivi weekend hii tunasheherekea birthday 🎂 zetu.
Bajeti yangu ni elfu 30 tu nataka mawazo yenu nifanye nini ili angalau hiyo 30 ifanye siku yangu iwe ya kukumbukwa na iliyojaa furaha tele.
Natanguliza shukrani.
50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako.
Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren.
Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti yako igawe katika Makundi 3 Makuu.
1) Kundi La Kwanza Ni 50%
Kundi la kwanza ni la kuweka kwenye...
Wakuu kwema?
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.