bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. rosemarie

    Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

    Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T Canada ni US700M sawa na SH 1.7T US ni US1.5BIL Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo...
  2. B

    Je, hotuba ya Rais ina uhusiano wowote na bajeti ya mwaka huu au itakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani?

    Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri 1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani. Mfano Bima ya Afya kwa wote, maeneo tajwa kujenga barabara na hayakujadiliwa kwenye bajeti ya mwaka...
  3. sinyora

    Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

    Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits. Nashukuru.
  4. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 Mgombea urais Zanzibar ADA-TADEA kutenga bajeti ya michezo akipata ridhaa

    MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya kusubiri wafadhili. Alisema hayo ikiwa ni sehemu ya kampeni zake, zinazoendelea kufanyika kisiwani...
  5. B

    Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

    Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
  6. Subira the princess

    Je, kutumia pesa za wanyonge nje ya bajeti inayopitishwa na Bunge ndio maendeleo?

    Wasalaam. Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
  7. M

    Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  8. mimi mtakatifu

    Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

    Nataka kununua Simu. Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung. Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=. Nazingatia zaidi good camera na muonekano. Update Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
  9. Mlolongo

    Natafuta Toyota VITZ wakuu! Bajeti yangu maximum 5,000,000

    Natafuta Toyota vitz nzuri. New model au hata old model ambayo iko vizuri. Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu) Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000 Napatikana Kinondoni Dar es Salaam. Mad Max Ndeko mmewadadako Tunzo10
  10. UkweliUsiosemwa

    Utekelezaji wa Bajeti 2018/19 kwa watumishi wa Umma, utafanyika lini?

    Niwakumbushe Serikali ya CCM mnaenda katika Uchaguzi mkiwa na deni la Madaraja. Wapo watumishi walitakiwa kupanda madaraja katika bajeti ya 2018/19 mpaka leo bado haijatakelezwa.
  11. sky soldier

    Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
  12. omutimbasafi

    Natafuta Alteza, bajeti yangu ni milion 5 (tano)

    Wana bodi habari za majukumu na poleni kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Raisi mstaafu B.W Mkapa. Kama kuna mwana jamvi atakuwa na connection ya alteza ambayo ipo sokoni naomba aje PM, pesa ipo mfuko wa shati aje fasta na ukizingatia ijumaa ni weekend lakini pia ni IDDI. Nawasilisha.
  13. Analogia Malenga

    Urusi: Bajeti ya jeshi yapunguzwa kutokana na athari za COVID-19

    Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo Kwa takwimu za mwaka 2019 Urusi ilikuwa ni nchi ya nne kwa matumizi makubwa ya jeshi. Pesa iliyokuwa ikitumika ilikuwa ni...
  14. The Eric

    House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  15. Idd Ninga

    Mjadala wa Bajeti ya Mwaka 2020 kwa njia ya mtandao. Jiunge sasa

    MDAHALO WA BAJETI UKUMBI: ZOOM Topic: Mdahalo Kuhusu ya Nafasi ya Vijana Katika Bajeti MPYA 2020-2021 Time: Jun 27, 2020 11:55 AM Africa/Dar_es_Salaam Join Zoom Meeting Join our Cloud HD Video Meeting Meeting ID: 786 0216 8531 Password: 2sqLi9
  16. T

    Zitto ukifumua bajeti hii januari kumbuka na hili la wafanyakazi

    Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo. Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
  17. CalvinKimaro

    Mbunge anajadili bajeti Youtube badala ya bungeni! Mwingine naye aliomba urais kupitia Youtube

    Karibu wiki nzima bunge lilikuwa linajadili bajeti. Mbunge Zitto Kabwe hakuonekana bungeni hata siku moja kuchangia mawazo. Sasa kaibuka na comedy ya hotuba ya kuchambua bajeti YouTube. Kesho kaitisha press conference eti kufanya uchambuzi wa bajeti. Hivi anajitambua? Mbunge uache shughuli nyeti...
  18. The Palm Tree

    Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo na vyama washirika, Januari 2021 kuitisha Bunge maalum la bajeti kuifuta hii inayopitishwa kesho na CCM

    Zito Kabwe amesema hili leo wakati akiichambua bajeti ya Magufuli 2020/2021 pamoja na kutoa mwelekeo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020. Amesema kama chama cha ACT - WAZALENDO kitapata ridhaa ya wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na...
  19. Miss Zomboko

    Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, Sh34.88 trilioni

    Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo. Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa...
  20. B

    Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
Back
Top Bottom