bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Siri wajumbe kamati ya BAKWATA kujiengua

    Siku moja baada ya wajumbe watano kati ya saba wa kamati ya maboresho ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kujiuzulu, wajumbe hao wameeleza sababu za kufanya hivyo, ikiwamo ugumu wa kupata taarifa sahihi za fedha. Kamati hiyo ilizinduliwa na Mufti, Abubakar Bin Zubeir, Februari 16...
  2. Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

    Mufti wa Tanzania amemteua aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam, Alhaji Suleiman Kova kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA. Uteuzi huu umekuja kufuatia kujiuzulu ghafla kwa Mwenyekiti wa awali Sheikh Issa Othman, ambaye amefanya kazi hiyo kwa miezi mitatu tu, Sheikh Issa Othman ameachia...
  3. Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  4. T

    Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

    Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe. Naomba kwa...
  5. Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  6. Leo ilikuwa Ijumaa kuu kwa BAKWATA kwahiyo Eid Yao kesho

    Dini ikitawaliwa na siasa ndo basi tena .. Eid imesetiwa na Kalenda kuwa ni jumamosi (Kalenda Ya 2023) ila kalenda ya kiislam (1 tarehe moja mwezi wa 10 ndo Eid ) sasa Waislamu wa Tanzania sijui wanafuata ukristo au ni gani sielewi. Tangia Yesu aondoke Duniani... ni miaka 2023 mpaka sasa na...
  7. BAKWATA mnajisikiaje kuwa wa pekee kwenye masuala ya miandamo ya mwezi?

    Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza hao jiraniz wanasherehekea sikuukuu ya Eid leo. Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa...
  8. Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  9. BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  10. J

    Gazeti la Mwananchi mna agenda ya kuchafua BAKWATA na Uislamu?

    Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na kichwa cha habari kikubwa "Bakwata ilivyokoleza mjadala wa umri wa kuolewa" Huku likiwa likiweka picha ya mtoto wa miaka 6 kwenye ukurasa huo. Najiuliza lengo la kuweka hii picha ni kuwa wanamaanisha Bakwata wanaunga mkono watoto wa miaka 6 kuolewa...
  11. BAKWATA yakosoa Washukiwa wa Ugaidi kuuawa kabla ya kufikishwa Mahakamani

    Katika maoni yake kwa Tume hiyo, Bakwata imeshauri kuboresha vipengele vya sheria tano, ikiwamo ile ya kuzuia ugaidi ya mwaka 2002 inayotoa mamlaka kwa polisi kupiga risasi na kumuua mtuhumiwa wa ugaidi kabla ya kuthibitishwa mbele ya mahakama. “Watuhumiwa wanauawa kabla ya mahakama...
  12. BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe. Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia...
  13. BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

    Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji. --- Pia soma - BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali...
  14. BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

    Mufti wa Tanzania, Abubakar Zuberi ameshangazwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutokemewa lakini badala yake wanalindwa na kutafutiwa uhalali wa ndoa akiwataka Watanzania wote kulaani na kukataa ndoa za jinsia moja nchini. Mufti alitoa hadithi ya nabii Lut ambapo jamii yake...
  15. Bakwata ni taasisi ya serikali yeye viongozi wa kiislamu

    Uisalam utabaki kuwa uisalam. Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran . Kila kitu kingekuwa sawa. 📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine. ...
  16. BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

    Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni. Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS...
  17. Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  18. M

    Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  19. Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
  20. BAKWATA yatangaza Sikukuu ya Eid El-Adh’haa kuwa Jumapili Julai 10, 2022

    Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam. Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…