OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA
Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s imebeba historia kubwa sana katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Katika picha...
Salaam wakuu,
Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara.
Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo wangu na mtalaka wake watafute watathmini wakakague mali walizochuma kwenye ndoa ili baraza hilo...
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.
Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
"Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
Wakuu salaam,
Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
Kwanza nitangulize tahadhari sina nia ya kukashifu dini yoyote wala kufanya uzi huu sehemu ya malumbano
Si kwamba nataka kuyaelezea majumu hayo la! Bali nataka mniambie ni yapi maana naona kama nielewavyo mimi sivyo
Kuna hiki chombo kilichojipa mamlaka ya kusimamia waislam Tanzania (nina maana...
Wadau wa JF
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango atakuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)
Mkutano huo mkuu utafanyika siku ya Jumapili Juni 27,2021 Mkoani Tanga
Taarifa imetolewa na Katibu Mkuu wa...
Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata.
Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti.
Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka.
Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
Waziri wa Utumishi mh Mchengerwa amesema serikali inaipongeza Bakwata kwa kutia mafunzo ya uongozi kwa waumini wake kwa njia ya Tehama iitwayo Bakwata Online Academy
Kadhalika Mchengerwa ameimba wananchi kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakati wote.
Chanzo: Channel ten
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.
Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.
Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia...
HaBari Wakurugenzi!
Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha.
Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu...
UTEUZI BAKWATA
Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa
Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi Mataka amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake...
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni.
Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na...
Katika kile kinachoonekana ni unafiki wa dhahiri wa BAKWATA, Masheikh wa BAKWATA wameanza kutumia podium mbalimbali za hadhara kumfanyia kampeni Mgombea uraisi wa CCM.
Wiki kadhaa zilizopita Sheikh wa BAKWATA wa mkoa wa Dar es salaam bwana Alhadi, alionekana kung'aka na kumshambulia Muinjilisti...
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.
Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi.
Tamko hilo limetolewa jana na Katibu wa Bakwata Wilaya ya Mtwara mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.