Wasalaam! Nawasalimu kwa mujibu wa Imani zetu na zenu
Modes mkipenda futeni tu huu uzi.
Hili suala la kuungua mara kwa mara shule za ndugu zetu Waislam lishakuwa hatari na huko tuendako linatishia usalama wa watanzania wote. (Kumbuka shule wanasoma watanzania wa itikadi na imani zote).
Kuna...
BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii...
Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania limetoa muongozo kwa viongozi wake wa dini waache kujihusisha na siasa.
Jambo hili ni jema haswa ukizingatia kuwa Kanisa hilo lina waumini ambao wana mrengo wa vyama tofauti vya siasa kwa hiyo siyo busara kwa viongozi wa kiroho wa kanisa hilo...
BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti.
Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata.
Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na...
Nayaandika haya nikiwa na uchungu mkubwa rohoni mwangu. Nikiangalia wale walio pewa mamlaka ya usimamizi wa sheria ya Allah wanafanya mambo mazito ya kumuasi Allah na kudhulumu watu.
Kwanza nibainishe mimi sio mtu wa kuendeshwa na mihemko ya kiharakati... Sina chuki juu ya bakwata na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.