Hellen Baleke (born 3 May 1987) is a Ugandan amateur boxer notable for being the first Ugandan woman to win a bronze medal in boxing at the 2019 All Africa Games.
Klabu ya Yanga imempatia kiungo wao mshambuliaji, Stephane Aziz Ki na mkewe wake, Hamisa Mobetto Sh50 milioni kama zawadi katika sherehe yao.
Hilo limebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine wakati wa sherehe ya aga dimba ya Aziz Ki na Hamisa iliyofanyika katika Ukumbi wa Super Dome...
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni 𝐉𝐨𝐧𝐚𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐈𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Chanzo: habarileo_tz
Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
Kudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia
Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na...
Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni.
Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
"Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except;
DUBE
This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost his aggressiveness that he used to have in Azam. I hope he improves.
DUBE can't press sio Yanga...
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu...
Wakuu
Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe
Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga.
Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana. Why?
Mpaka Mazembe wanakuja kwako kumtaka mchezaji ujue huyo ni a good player! Halafu pia hawa ni...
Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league
Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu.
Tukutane hapa kwa update.
KIKOSI CHA SIMBA
KIKOSI CHA IHEFU
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua.
Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa.
Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha.
Phiri kaja...
Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu.
Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu.
Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.
Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.